Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiniletea kithibitisho kua hio picha ya kwanza na yatatu ni dar mm nafunga account jamii forum mark my words[emoji1787][emoji1787][emoji1787] endelea kuokota picha za Google useme dar
Ndo nlikuwa nmemuuliza wapi hyo af ole wake angesema Dar ningemwaga mavi kwa mikono yng miwili...
 
Kesho tunaomba Wakenya mckimbie uzi km leo tutapunguza sindano ili battle icpoteze uhalisia mapema, tunataka muwepo humu wakati wanaume tunazindua lile joka la umeme [emoji3][emoji3] tofauti yetu na nyie ni moja tu, nyie hamna jipya mnakomaa na maghorofa yenu uchafu cc tunawapiga na miradi itakayoleta maendeleo ya kweli [emoji3][emoji3] Wazee wa westie mpoo!! daadeki ghorofa moja angle 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…