Ngerengere station which is more than one hundred km from dsm is almost complete, shida station zote zinafanana sasa sijui nakusaidiaje...ambazo hazifanani ni ya dar na Moro tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinanambia kuwa hilo joka hapo kwenye pic ndo design itakayoletwaHawa jamaa zetu vp ndo kusema wameshaukimbia uzi mapema hv[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1361686
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1361489View attachment 1361490View attachment 1361491
Itakuwa poa sn nyororo km iyo ikijaKuna kitu kinanambia kuwa hilo joka hapo kwenye pic ndo design itakayoletwa
Locomotives ya majaribio inayomilikiwa na yapi merkezi ndio unaiita Sgr Tz locomotives 😂😂😂
Hio ndio treni tunaona hio ndio yenu.Locomotives ya majaribio inayomilikiwa na yapi merkezi ndio unaiita Sgr Tz locomotives 😂😂😂
Au hukuona walivyokuwa wanaitumia kule Ethiopia pia?
Na unaweza kuta mnaoneshana kwenye simu zenu hapo Kunyaland.
Mnajua wewe na wajinga wenzako,H
Hio ndio treni tunaona hio ndio yenu.
Na wakenya wana import vitu vingi kama parachich viazi toka bongooovitu wanavyoimport kutoka kwetu ni vingi kuliko wanavyoexport kwetu... [emoji385] [emoji385]
View attachment 1361652
Matusi ukishalemewa hoja ni kawaida yenu. Mitungi yenu ya mbege ndio Hii hapaMnajua wewe na wajinga wenzako,
Komaeni na mitungi yenu ya changaa.
Kukuambia ukweli ndio matusi?Matusi ukishalemewa hoja ni kawaida yenu. Mitungi yenu ya mbege ndio Hii hapa
View attachment 1361868
Najiuliza ni aina gani ya flyover pedestrian au vehicleskama ya tazara?
Angalieni jamani wakenya wasije wakatukimbia humu tukabaki peke yetu bila mtaniDar es Salaam kuna Hela, Kuna watu, kuna Mpira, Kuna treni za Umeme, Kuna Brt, Kuna marine transport, kuna modern Airport, kuna 3floor interchange, kuna beautful beaches, kuna Sea Bridges, kuna modern Bus station, kuna Gas cars, kuna The biggest Sports studios in Ea an Central, kuna modern university library, kuna the biggest city in Ea and Central, kuna biggest Football stadium in Ea an central, kuna Full 8 lane road with Brt, kuna Biggest Fish market in Ea n C, kuna Big and Modern Hospitals in Ea, daaah Simu imeisha charge ntaendelea[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Kwanza ni wajinga sana wanajengaje station kubwa porini?Aaaah subutu ,ile SGR Yao embu na waipost basi tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tumewapiga 3 buyu bila wasiwasi...
Kitu pekee wanajivunia ni stesheni basi
Sent using Jamii Forums mobile app
I now understand why do this guyz from the north signs bogus agreements and ending up with mitungi ya chang'aa.see that borne head remarks on locust!
Nlikuwa nasema mm mda c mref hii battle itapoteza uhalisia mana wenzetu walichobaki nacho ni historia tu ila currently tushawapiga ndole kote kote [emoji3][emoji3][emoji3]Angalieni jamani wakenya wasije wakatukimbia humu tukabaki peke yetu bila mtani
Sent using Jamii Forums mobile app