Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
na isitoshe izo estate pia dar zipo.......na zinazidi kujengwa kwa kasiestates nyingi nairobi zinamilikiwa na investors,politician and businessmen lakini common people hawamiliki nyumba kabisa so dar kila mtu anamiliki nyumba yake na anajenga nyumba of his/her own dream.....sijui umenielewa ndugu😀😀😀