Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sana....
Huu mzigo haujapishana na renders wametoa mulemule...Yote 9 kumi treni ziwe dope tu,Ntaumia sana tukiletewa Mitungi ya Mbege kama ya KE Madaraka Express[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mtungi wa chang'aa hauwezi kupita kwenye njia hii[emoji116][emoji116]
 
"Ona jinga hii", eti civilazation ni kuishi kwenye apartments za suburb, angalau zingekuwa downtown ningekuelewa.
So Mnataka tuishi kwenye a
squalors aka dream houses kama nyinyi!? Jamani mbona mnataka tufanane?
 
Kweli bro hizi zetu double stack zitaharibu reli yenyewe kwa kuwa Hii yenu ni of inferior quality. Kabla ukutupuke, hii reli ji double stack ama ni ya kubeba ka-container kamojoa kamoja...mtajaza za kufika Uganda lini?
Presha imepanda mpk unakosea kuandika [emoji3][emoji3]
 
Kweli bro hizi zetu double stack zitaharibu reli yenyewe kwa kuwa Hii yenu ni of inferior quality. Kabla ukutupuke, hii reli ji double stack ama ni ya kubeba ka-container kamojoa kamoja...mtajaza za kufika Uganda lini?
 
Huyo ni kilaza wa level nyingine 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…