Sijaona sehemu yoyote imeandikwa followers million 4Citizen tv has 4 million followers......your biggest channel ina wangapi?View attachment 1354689
Sent using Jamii Forums mobile app
Si hata BRT huwa mna sema sio lazima muwe nayo.....deep down mnaitamani kweli kweli 😂😂😂
Uku wasiguse kabisaaa, ukija kwa wasanii ndo watakimbia mana tutadominate mpk no.30 ndo wafuate waganda af waje wao...
Huyo anasumbuliwa na wivu.
Huko hawathubutu maana wanajua 😂😂😂Uku wasiguse kabisaaa, ukija kwa wasanii ndo watakimbia mana tutadominate mpk no.30 ndo wafuate waganda af waje wao...
Wana Shobo za kijinga tu 😂😂😂
Huko hawathubutu maana wanajua![]()
Hatutakuwa Guinea pigs kweli? Tukinunua madude ya Waturuki?Home - International Railway Journal › turke...
Turkey to start electric locomotive production | International Railway Journal
View attachment 1354559
Waturuki wako vzr sana kwenye technology bro usiwachukulie juu juuHatutakuwa Guinea pigs kweli? Tukinunua madude ya Waturuki?
Sina huo Muda wa kupoteza kutaja maana utaaibika tu,
Si kwa kujenga locomotives! Itakuwa kama kipindi cha TAZARA na treni za Mchina! Mtu asikudanganye mtu kujithibitisha kwenye sector kama hizi muhimu! Mjerumani, Mmarekani (diesel engine), Mjapani, Mkorea na Mfaransa ndo magwiji!Waturuki wako vzr sana kwenye technology bro usiwachukulie juu juu
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇fikeni hapa kwanza
Hapana bro waturuki wachunguze sana kwenye technology wako vzr sana na ukitaka kuamini we subiri hii SGR ikamilike ndio utajua technology iliowekwa hapo nilipitia article moja inaonesha hii reli inayojengwa Tanzania itakua na ultra modern technology in AfricaSi kujenga locomotives! Itakuwa kama kipindi cha TAZARA na treni za Mchina! Mtu asikudanganye mtu kujithibitisha kwenye sector kama hizi! Mjerumani, Mjapani, Mkorea na Mfaransa ndo magwiji!
Sasa wanatengeneza matairiHapana bro waturuki wachunguze sana kwenye technology wako vzr sana na ukitaka kuamini we subiri hii SGR ikamilike ndio utajua technology iliowekwa hapo nilipitia article moja inaonesha hii reli inayojengwa Tanzania itakua na ultra modern technology in Africa
Hawa jamaa ni super silent in technology ila wako vzr sana bro ww subiri utajionea maajabu ya technology hakuna africa baada hii reli kuishaSasa wanatengeneza matairi
![]()
Turkish steel giant Kardemir begins producing train wheels - Latest News
Turkish iron and steel giant Kardemir has started producing indigenous train wheels to prevent imports, the head of the company said.www.hurriyetdailynews.com