Hivi Unaweza nisaidia
Ndio maana tunawaambia hapa kila siku kwamba you should compare that fishing village with Mombasa. They have a lot in common. Nairobi is far much ahead of itMasaki inapigana vita na kileleshwa kwa lipi? compare na suburb zilizopo beach sio uko nairobi msituni
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mzee naye aache uzushi! Zile nyimbo za kuhamia Dodoma zimeishia wapi? Au ndo kupunguza gharama huku kusafirisha mawaziri na maofisa wa Wizara na serikali kila siku kuhudhuria uapisho Magogoni! Awe mkweli uhamisho wa serikali Dodoma ulikuwa changa la macho! Binafsi sijapenda kukengeuka na kugeuka kwake huku juu ya suala zima la kuhamia Dodoma! Akakae Dodoma kama baraza lake la Mawaziri linavyoishi huko!
Bariadi better than Nairobi
Miji mingi ya mikoani imepangika vizuri.Kahama better than Nairobi