Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuwepo kwa rasilimali shinyanga haimaanishi kila mtu wa shinyanga ni tajiri Wala wote wanakua na uwezo wa kumiliki mjengo wa matofali .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's all in your mind. I have no problem with that at all
 
Kuwepo kwa rasilimali shinyanga haimaanishi kila mtu wa shinyanga ni tajiri Wala wote wanakua na uwezo wa kumiliki mjengo wa matofali .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unafahamu hizo nyumba za matofali ya udongo hujengwa vipi?
Nyumba za tofali za udongo una uwezo wa kutengeneza mwenyewe bila gharama kubwa yoyote,
Udongo utachimba mwenyewe, mashine utatengeneza mwenyewe, sementi utatumia udongo kwa ajili ya kushikilia hayo matofali ya udongo,
Acha kujifanya mjuaji na hata hufahamu kitu.
 
Bring them home wafunguliwe mashtaka nyumbani. It happens all over the world
Zaidi ya wakenya 1,300 wapo kwenye magereza mbalimbali duniani wakitumikia vifungo vyao,
Kwanini hamuwaleti nyumbani muwafungulie mashtaka?
 
Sio kila mtu ana nguvu ya kukanda huo udongo,pili unajaribu kukataa vitu ambavyo vipo hazarani Tanzania nzima na watu wengi tu Wana hayo makaazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini sio kunyongwa,watu wetu serikali hua inajiatiti Hadi harudishwe nyumbani , serikali wenu haifai kulinyamazia Hilo Jambo maana mkinyamaza watu wenu wengi wataumia hata wengine labda waliwekewa false accusations.
Zaidi ya wakenya 1,300 wapo kwenye magereza mbalimbali duniani wakitumikia vifungo vyao,
Kwanini hamuwaleti nyumbani muwafungulie mashtaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masaki & Oysterbay one of the best in Africa, kua na apartment haifanyi kukawa sio bora....hata Beverly hills apartments zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Where did you read that masaki na Oysterbsy are some of the best in Africa? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Basi Karen and Muthaiga are the best in the world πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Where did you read that masaki na Oysterbsy are some of the best in Africa? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Basi Karen and Muthaiga are the best in the world [emoji23] [emoji23]
Kwani sikiwa best inaathiri nn uzuri wa karen au muthaiga?unaujinga mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa tukiwaambia hamjui kitu kuhusu nchi yenu ni kweli kabisa hamjui,
Mwaka 2009 wakenya walinyongwa China kwa mambo hayo hayo ya drug trafficking while others faced life imprisonment,
Na 2015 Unakumbuka tena ni nini kilimkuta mkenya mwenzenu πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Haya mambo sio mazuri hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…