Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ndio mji wa pili ya country....lol.Mungu awasaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikurupukie usivyovijua 👇👇👇👇not the same place
1969189_mwanza103-1.jpg
 
Fool Diani is Kwale county n not Mombasa county! It's like Kibaha n Dar!
Counties are just political boundaries Mr Smart guy. Truth is they're economically intertwined. There cannot be a Diani without Mombasa. It's like Kajiado, Machakos and Kiambu counties which surround Nairobi. A person in Athi River will say they live in Nairobi, same for a person in Runda but they live in machakos and Kiambu counties respectively. Lakini there can be Zanzibar without Tanzania leave alone Dar
 
Still average mse. Desperation isikutoe mawazo. Hii ikiwa Mombasa it won't even be acknowledged. Uliza uambiwe kwa sababu wewe nikama ukifika Mombasa unalala kwenye lodging za $20
 
But Diani is not within Mombasa city! Between Zanzibar n Dar is less than 30km but Zanzibar is not in Dar!
 
Still average mse. Desperation isikutoe mawazo. Hii ikiwa Mombasa it won't even be acknowledged. Uliza uambiwe kwa sababu wewe nikama ukifika Mombasa unalala kwenye lodging za $20
Unafkiri hio zile hotel za masai mara 20 usd
220v0g0000007znml8FEA_R_550_412_R5_Q70_D.jpg
images - 2020-02-05T190646.923.jpeg
images - 2020-02-05T190711.080.jpeg
 
Impressive but still average. I see such in like every big town. Leta zingine kama hizo tano kutoka Mwanza na uweke majina yake hapa
Ukhekhekhe kazi umeanza kuielewa sasa😁😁😁 we ukitaka kufurahi na hotel sema nakupeleka zanzibar uone kama utakaa kwa hii thread🤣🤣
 
Wakenya kwa kuwapa taarifa hii sio ile tz ya 90s🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
But Diani is not within Mombasa city!
Your argument is baseless. It was only given to Kwale for political reasons but ideally it is part of the greater Mombasa city. Haven't seen any means of transportation to Diani from any part of the country or the world where you can't first stop at Mombasa before heading to Diani
 
Issue is diani haiko within Mombasa city😁😁😁 simple and clear
 
Wakenya kwa kuwapa taarifa hii sio ile tz ya 90s🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bado mko mbali sana nivile you're living in denial. Your arguments are just products of CCM's PR. Only some few projects to make the country appear competitive lakini bado. Kuweka kiki hadi kwa maendeleo lakini ukweli wajulikana tu
 
Ccm imewaumiza sana kichwa maana mlikua hata hamuitaji humu ndani siku hzi iko midomon mwenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Issue is diani haiko within Mombasa city😁😁😁 simple and clear
Huelewi mambo ya Kenya hataa. Miji kama Malindi, Watamu na Lamu ndio tunaweza sema haziko related na Mombasa hata kidogo lakini for Diani, you can make all arguments but it's part of Mombasa, only difference is where they pay their taxes
 
Your argument is baseless. It was only given to Kwale for political reasons but ideally it is part of the greater Mombasa city. Haven't seen any means of transportation to Diani from any part of the country or the world where you can't first stop at Mombasa before heading to Diani
wacha kuharisha sasa its not my business to know whether was given on political grounds or not!

Location-of-Kwale-Mombasa-and-Kilifi-Counties-Source-Ogega-et-al-2016.png
 
Back
Top Bottom