Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fishing village
Screenshot_20200205-172725_Opera%20Mini.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona wakitapika hivyo hawana jibu.....hawaezi confess how planned and developed Nairobi is so wanapost wakitumia matako

Sent using Jamii Forums mobile app
Si majamaa ilibidi wakimbie kujenga mji nje ya Dar kwa sababu waliona Dar is irredeemable. Uncontrolled developments even next to the CBD. Wanaumia na wale wenye akili wanajua nini tunachosema lakini for the sake of killing boredom wacha uzi uendelee. Funny thing is that I saw some list of tenants/owners of a certain property and I could count at least 10 Tanzanians owning apartments out of 60 something apartments.
 
Sure
Muhimu sio kwenda au kutokwenda, muhimu ni kile wanachokisema na kukisimamia. Lakini ukweli ni kwamba USA ni nchi muhimu kuliko zote, ni China pekee inayoweza kuhimili misukosuko ya USA kiuchumi, wakiongeza " pressure" kidogo tu kwa Tanzania, lazima chupi zitaanza kutubana, lazima tuwe tinakubali kukosolewa, tuachane na kiburi cha kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom