Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitengela [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
view-of-the-main-a104-road-through-kitengela-town-with-traffic-and-KWKA82.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu!! Wakeya poleni ,sasa nimekoma kuwa shutumu kwanini ampendi kutuonyesha wapi mnaishi tufauti na watz ,du kwa makazi hayo hata ningekuwa mm siwezi muonyesha MTU wapi naishi !!!! Bora mfungwa tz kuliko kuishi hapo
wewe jamaa ulienda shule kweli?
Millionaires na data zenu za kupika jikoni hvi unaona hapa watu wajinga sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yajayo yanafurahsha, shuzi ilo mnaliona?? [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3] jiandaeni kisaikolojia mwaka huu
Screenshot_2020-02-04-23-56-48.jpeg
 
Bro hzi vitu musiweke jaman mutahatarisha usalama wa hii thread plz[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kwali ,,, WANAZENGO SIJUI NIWADOKEZE SIRI ZA CHINI YA KAPETI KIDOGO ,,, Kuwa Kenya ndiyo imeusika kutengeneza mpango ili USA aiwekee vikwazo tz vya kusafiri na tuhuma za ugaidi kuwa tz tupo nyuma ya magaidi,hii ni siri ya kweli ya chini ya kapeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom