Shows you people are moving from slums to better housing. That's just a section of Eastlands by the wayThe issue here is that dwarfs or??
Shows you people are moving from slums to better housing. That's just a section of Eastlands by the wayThe issue here is that dwarfs or??
Haaa! na akili zangu timamu ninunue hizo nyumba kama madarasa 😇😇😂😂😂😂sahau nyie watu wa ajabu sana. Haya tuletee makazi tofauti na estates 😂😂😂😁😁inakaa umetoka kwa shimo leo, kwani investors si watu? don't we buy? don't you know you can also buy an apartment and rent? wewe si investor ukifanya hivyo?
zidi na huo ujinga tu.Hela ya ku buy iko wap hela ya kumiliki kiwanja huna utaweza buy😁😁😁 ndio maana munaishia kwenye slums na kwenye bedsitter za umoja slums
Kibera area of 5km ina watu 2.5m alaf unataka watu wanunue nyumba
Ukweli unauma 😁😁😁 ngumu kumeza💉💉zidi na huo ujinga tu.
Muulize hio pesa iko wap ikiwa viwanja hawana vinamilikiwa na politicians pamoja na investors + wafanyabiashara wakubwa sanaHaaa! na akili zangu timamu ninunue hizo nyumba kama madarasa 😇😇😂😂😂😂sahau nyie watu wa ajabu sana. Haya tuletee makazi tofauti na estates 😂😂😂😁😁
Tatizo zile slums zilizozunguka apo kwny mji wao znaondoa thamani yote ya NairobiIchoboy one man amry Safi sana kazi yako tunaiona...
Hata hivyo nawapongeza majirani mji wenu unavutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutanunua kwa kuwa wewe hauna kitu cha maana cha kufanya mjini. If you're working within a city and need good housing then that's the option world over. I can count at least 10 friends who own stand alone houses, some even rentals outside the city but still rent an apartment within the city. My wife's father has been doing that for like 40 years. I do the same. I can bet even the president has an apartment kwa hizo "madarasa.' Ever wondered why condos are popular in places like Manhattan yet most owners are dollar millionaires and can buy houses in suburbs?Haaa! na akili zangu timamu ninunue hizo nyumba kama madarasa 😇😇😂😂😂😂sahau nyie watu wa ajabu sana
Sasa hadithi yote ya nn hvi ww mungekua na uwezo wa kanunua hzo nyumba in kibera 5km area 2.5m people wanafanya nnHutanunua kwa kuwa wewe hauna kitu cha maana cha kufanya mjini. If you're working within a city and need good housing then that's the option world over. I can count at least 10 friends who own stand alone houses, some even rentals outside the city but still rent an apartment within the city. My wife's father has been doing that for like 40 years. I do the same. I can bet even the president has an apartment kwa hizo "madarasa.' Ever wondered why condos are popular in places like Manhattan yet most owners are dollar millionaires and can buy houses in suburbs?
The question is how many Kenyans own estates? nazungumzia tu for those who are in Nairobi. That's why ratio kubwa ya wakenya iko kwenye slums, they have no ability to buy a portion of land na kujenga nyumbaHutanunua kwa kuwa wewe hauna kitu cha maana cha kufanya mjini. If you're working within a city and need good housing then that's the option world over. I can count at least 10 friends who own stand alone houses, some even rentals outside the city but still rent an apartment within the city. My wife's father has been doing that for like 40 years. I do the same. I can bet even the president has an apartment kwa hizo "madarasa.' Ever wondered why condos are popular in places like Manhattan yet most owners are dollar millionaires and can buy houses in suburbs?
Na hzi ndio estates hawawez kukuonesha😁😁Tatizo zile slums zilizozunguka apo kwny mji wao znaondoa thamani yote ya Nairobi
sioni Westlands, naona tu GTCNaona westland iko mbele so aseme + westland😁😁😁😁
Jibu lake hili hapa bro usihangaike😁😁👇👇The question is how many Kenyans own estates, nazungumzia tu for those who are in Nairobi
Na hzi ndio estates hawawez kukuonesha😁😁
Jibu lake hili hapa bro usihangaike😁😁👇👇