Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Sasa hii mbona kama shule vile 😂😂😂
Sasa hii mbona kama shule vile 😂😂😂
Icho apa umekomesha mzee watasema thnx 4 rendersKuliko kuishi kwenye estate za investors kwa dar mambo ni tofaut everyone own land and build a house ya dream yake
View attachment 1346565View attachment 1346566View attachment 1346567View attachment 1346568View attachment 1346569View attachment 1346570View attachment 1346571View attachment 1346572View attachment 1346573View attachment 1346574View attachment 1346575View attachment 1346576View attachment 1346577View attachment 1346578View attachment 1346579View attachment 1346580View attachment 1346581View attachment 1346582View attachment 1346583View attachment 1346584



Kenya debt to GDP ratio 70%Largely debt-driven growth. Hoping it's being channeled to the right places
Hata hamueleweki, mara iko commisioning, mara survey, mara inafanya. Anyway, it doesn't get our attention because it's some outdated stuff. Nairobi commuter ni new coaches and stations babaa. The old ones kama hiyo inneficient Treni ya makyembe tumewacha kwenye Railway Museum.Hata hizo commuter train tunazo jombaaa usidhani dar ligi yako,kuna inayotoka posta CBD to pugu nje kidogo ya mji,kuna inayotoka posta CBD kuelekea kinondoni,kuna inayotoka tazara kuelekea kajiungeni(nje kidogo ya mji)..nyie kama mmeshindwa kujenga BRT ni bora kukubali matokeo tu
A lot of excuses😂😂😂🤣🤣
Mkuu leo umewastua sn na hizi vituView attachment 1346585View attachment 1346586View attachment 1346587View attachment 1346588View attachment 1346589View attachment 1346590View attachment 1346591View attachment 1346592View attachment 1346593View attachment 1346594View attachment 1346595View attachment 1346597View attachment 1346598View attachment 1346599View attachment 1346600View attachment 1346601View attachment 1346602View attachment 1346603



😁😁😁😁😁sante bro wakiambiwa slums ziko Nairobi pekee wanalia hapaIchoboy one man amry Safi sana kazi yako tunaiona...
Hata hivyo nawapongeza majirani mji wenu unavutia
Sent using Jamii Forums mobile app
wao hawana nyumba za kupost zaidi ya zile zinazo fanana kama hostels za shule 😂😂
You're just throwing figures na huelewi zina maana ganiKenya debt to GDP ratio 70%
Tanzania debt to GDP ration 37%
Akili haikai matakoni😁😁☝☝☝
Wanalazimisha tu ilaa bongo hatuna hali mbaya kama wanavyodhansante bro wakiambiwa slums ziko Nairobi pekee wanalia hapa
zidi kuruka ruka lakini ukweli waonekana wazi.This shit😁😁😁👇👇👇 hata mwanza inaitoa nje
View attachment 1346384
Mbona mumeenda kurudia utumbo kwenye SGR 😁😁😁😁😁 kama kweli mumeacha museumHata hamueleweki, mara iko commisioning, mara survey, mara inafanya. Anyway, it doesn't get our attention because it's some outdated stuff. Nairobi commuter ni new coaches and stations babaa. The old ones kama hiyo inneficient Treni ya makyembe tumewacha kwenye Railway Museum.
Kwanza tafuta suburb kama hii Mombasa alaf rudi hapazidi kuruka ruka lakini ukweli waonekana wazi.
We mwenyewe hz unazopost zote unarudia Ichoboy ameleta vitu vipya ambavyo hata mm mwenyewe mtz nlikuwa cjavionaNaona ushaishiwa, the second picture ushapost mara kumi sasa. The same pic is in post 179952


Heheh yani wao hufkiri mzungu kaona slums kwao wanafkiri mzungu mjinga sana hapana sehemu zingine ila kwao tu😁😁😁😁
Watakuletea estates maana hawana kingine, waambie wakuletee makazi tofauti na estates za investors ukumbuke kunitag wakileta 😂😂😂Kwanza tafuta suburb kama hii Mombasa alaf rudi hapa
View attachment 1346870
never seen this area, looks posh, ni wapi?
Azitoe wapi Mombasa 😁😁😁 yani ukiskia Mombasa ni mji mmoja mbovu sanaWatakuletea estates maana hawana kingine, waambie wakuletee makazi tofauti na estates za investors ukumbuke kunitag wakileta 😂😂😂
inakaa umetoka kwa shimo leo, kwani investors si watu? don't we buy? don't you know you can also buy an apartment and rent? wewe si investor ukifanya hivyo?Watakuletea estates maana hawana kingine, waambie wakuletee makazi tofauti na estates za investors ukumbuke kunitag wakileta 😂😂😂
Hela ya ku buy iko wap hela ya kumiliki kiwanja huna utaweza buy😁😁😁 ndio maana munaishia kwenye slums na kwenye bedsitter za umoja slumsinakaa umetoka kwa shimo leo, kwani investors si watu? don't we buy? don't you know you can also buy an apartment and rent? wewe si investor ukifanya hivyo?