Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafuta mwalimu akufundishe ili uache kucomment Vitu usivyo vijua.
now that sijui nachosema, si you prove me wrong. You have the chance to convince the audience that Tanzania's Youtubers earn more or same with Kenya's. Floor is yours sir.
 
Kenya's film industry gets some more international recognition

 
Ongoing costruction for the largest slipway in the East and central Africa at Mwanza port

EPsvHzfWkAIPKq5


EPsvHzhWkAAlyx8


EPsvHB6XsAAZTET


EPsvHGLWoAI2EzK
 
Ulisema utajiwe watatu ambao washawahi kuja Dar now unahamisha goal kama kawaida yako mjinga mshamba.
He was very specific. He mentioned 2019, not any other year. Naona umeleta Rick Ross. He was in Kenya even in 2018
 
He mentioned 2019 and you've deliberately chosen to ignore that. In short, wasanii wepi wa kimataifa walikuja Tanzania mwaka jana 2019? That's the question he asked
Nili ignore wapi?
Umeona hiyo screen shot niliyopost, ndugu yako aliuliza hivyo kwa kudhani kuwa hakuna msanii yoyote wa kimataifa aliye wahi kuja Dar sasa baada ya mimi kumjibu fasta fasta aka edit ili kuficha aibu yake na akahamisha magoli,
Ama hujaona kuwa ame edit?
Shida yenu kubwa huwa ni kupenda kuficha vichwa vyenu kwenye mchanga,
Eti umekuja kumtetea 😂😂😂
 
Back
Top Bottom