Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu mkenya alikuwaga anajielewa angalau kuliko Hizi bumunda za humu, embu cheki alivyo wadunga sindano wenzake [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu waraka ingekuwa aliyeandika co famous wakenya wangesema ni mbongo [emoji3][emoji3] aliwapga sn kwakweli [emoji3][emoji3][emoji3]
 
We overcomed corruption that's why!
Hujui kama Hii electric sgr yetu ni three times cheaper than your old expensive rubbish?

LOL eti bado unatupa lecture kuhusu sgr! Wewe utakua na kichwa cha kuku kichwani.
Na njaa yote mliyonayo?
 
Njaa iko tz only that ccm kills or jails journalists who strip naked your ldc shithole of tanganyika
We overcomed corruption that's why!
Hujui kama Hii electric sgr yetu ni three times cheaper than your old expensive rubbish?

LOL eti bado unatupa lecture kuhusu sgr! Wewe utakua na kichwa cha kuku kichwani.
Na njaa yote mliyonayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The ugly station......
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stations za Kenya hata Americans walizitii....hizo ujinga ichoboy anapost hapo ndio sijui kikombe au glass ya maji..lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Airport mlisema hivyo hivyo Mara paaaaaa!!!!! Huu mwaka lazima wakenya mliokimbia huu Uzi na kurudi na id mpya,lazima mkimbie tena ,,,,mwaka mbaya sana kwa Kenya na miaka ijayo,reli yenu gharama zake zinazidi siku kwa siku hadi miaka mitano ijayo mkija kupiga hesabu ya garama za ujenzi + gharama za uendeshaji + hasara + riba ya deni + ufisadi = mtapata reli yenu imegarimu Mara Mbili ya Pesa za ujenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its three floors by the way kuna tatizo gani hapo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ kuna majengo mawili hapo moja ndio station hio inajengwa na ile nyingine itakua hq ya TRC inajengwa pembeni yake unakwama wapi wewe

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ