Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa yote siinachapwa na Upanga hands down tu

Mombasa Ni city uko kenya sisi hatuitambui tafadhali!! Na hua sipendi ku argue na wewe hata siku1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shinda hapo tu na "lipstick." We're focusing on commuter rail at the moment which is more viable. BRT will just be some icing on the cake. Wacha watu wa matatu walipe loans zao kwanza


View attachment 1335230
View attachment 1335232
Uhehehhee hangaikeni lakini msumari uko palepale mwaka huu muje mupange the first electric bullet train in east and central africaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wengine hawa hapa wameanza kujitambua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alaf hio ni dodoma tu wameanza kusandaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€na wangekua wanaakili hawa huu mwaka ulikua hata sio wakushindana na Tanzania wangekaa kimya tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mumebaki munalia na hasara za kq miaka 7 sasa huku munamiliki ndege tatu miaka 50 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Air Tanzania imefufuliwa miaka tatu sasa ina ndege 11 brand new cash dealπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Imetengeneza faida ya pesa ngapi?
 
Very good sasa zoom hio pic yani umeleta picha nzuri sana iliopigwa umbali mkubwa sana sasa zoo. Alaf post tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
There is no need of zooming unless you are blind.
 
Ndio imeanza just 3 yrs mbona muna wasiwasi sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ munanyimwa usingizi na ATCL
Hebu nionyeshe hiyo ripoti inayosema Atcl imetengeneza faida nicheke
 
Unanionyesha barabara. Hiyo barabara ndio Kijitonyama? Ona ulivyo mjinga. Nairobi has better roads if your intention was to show me that stretch of road
So unakasirikia nnπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unanionyesha barabara. Hiyo barabara ndio Kijitonyama? Ona ulivyo mjinga. Nairobi has better roads if your intention was to show me that stretch of road
Hahaha 🐡 hapo umeona barabara tu,
Hujaona ulipozungushia duara kwenye picha uliyopost πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I know unaumia sana,
Shida yako ni ubongo wako kutumia outdated software.
 
Hebu nionyeshe hiyo ripoti inayosema Atcl imetengeneza faida nicheke
Kwa miaka 3 tu serious yani hata miaka 5 haijamaliza siungesubiri ndege nne mpya ziingie mwaka huu tupanue wigo zaidiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaha 🐡 hapo umeona barabara tu,
Hujaona ulipozungushia duara kwenye picha uliyopost πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I know unaumia sana,
Shida yako ni ubongo wako kutumia outdated software.
Hawawezi Aminu hawa hali mbaya sana kwaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…