Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo slums wanataja hata kwa Google earth ni non existent.......they are relying on the cheaply cooked stories by ngos looking for donor funds

Sent using Jamii Forums mobile app
There's a picture Ichoboy anapenda sana kuleta hapa sana that mentions so many places in Nairobi as slums. Niliona Ruaka Kwa hiyo list yake nikacheka sana. Ruaka is one of the places in Nairobi with leading real estate development with high-rise apartments almost everywhere
 

Attachments

  • PhotoGrid_1579766211783.jpg
    65.7 KB · Views: 17
Oya kuleta picha ya nyumba mojamoja mzeebaba unatujazia seva,hivi kila mtu akiamua kuleta nyumba mojamoja humu si itakuwa balaa

Mbona unayumba father?
 
Oya kuleta picha ya nyumba mojamoja mzeebaba unatujazia seva,hivi kila mtu akiamua kuleta nyumba mojamoja humu si itakuwa balaa

Mbona unayumba father?
Ingia google earth unionyeshe hiyo Ruaka ambayo ni slum
 
Hehe...hizo slums wanataja waingie Google earth watuonyeshe...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuja na hii leo
Barabara zenye 6 lanes, tuone Nairobi ziko ngapi na tz ngapi

DAR ES SALAAM
Morogoro road
Kkoo- Morroco
Kkoo - Mbagala

8-13 lanes
Kibaha highway
New Bagamoyo road

4 lanes
Nelson mandela road
Karume - magomeni road
Mmoja - Airport road
Shekilango - mwenge road
Mwenge - tegeta road
Posta - Morocco road


NANGOJA NAIROBI ZIKO NGAPI HAHAAA


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Just post the roads wacha kupost ujinga hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…