Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The largest interchange in east and central Africa
Ubungo interchange
IMG_20200122_143011.jpg
IMG_20200122_143014.jpg
IMG_20200122_143016.jpg
IMG_20200122_143019.jpg
 
hamna filters hapo, just HD camera. Yaani karibu kile macho yako yanaona. Wewe unaleta picha imepigwa na Oppo 😀😀
So hii je sio kweli hvi ww bro unaona unaeza kudanganya mm ??😀😀😀😀
 
So hii je sio kweli hvi ww bro unaona unaeza kudanganya mm ??😀😀😀😀
Picha imepigwa jioni. Ona the golden color ya sunset. Si filter. Ulivyo ona hivyo ndio kwa ground iko. Usiltete picha za Oppo hapa 😀😀 . Next time ukipiga tour Kenya anza Kisumu, fika Eldoret, nakuru kisha Nairobi. Ukifika Nairobi nitafute nikununulie Tusker
 
Narudia kukuuliza he unaeza kudanganya mm kushusu kenya????😀😀😀😀
Hakuna sehemu sijafika Kenya wacha nikwambie bro juzi kati nilikua kisumu nakuru na Nairobi na hii juzi last week nilikua Mombasa na malindi
 
Back
Top Bottom