Kama unajua Nairobi then unajua difference ya downtown na uptown ukipita Tom Mboya streetNarudia kukuuliza he unaeza kudanganya mm kushusu kenya????😀😀😀😀
Hakuna sehemu sijafika Kenya wacha nikwambie bro juzi kati nilikua kisumu nakuru na Nairobi na hii juzi last week nilikua Mombasa na malindi

