Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uzuri ni kwamba takwimu zote umetoa kwenye hiyo kichwa chako kubwa
 
Uzuri ni kwamba takwimu zote umetoa kwenye hiyo kichwa chako kubwa
Uzuri ni kwamba unafahamika kwa kupenda kupingana na ukweli,
Naona ripoti mpya ya IMF kuhusu miradi ya kenya kukwama hujaiona 😂😂😂
Naona pia hujasikia kinachoendelea kuhusu Usafirishaji wa mafuta kutoka turkana.
 
Kenya is blessed........our enemies are working hard to bring us down but we continue souring higher and higherView attachment 1327404

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado mnapokea grants, misaada ya chakula, hali mbaya ya maisha kuzidi hata ldc countries, ukuaji mkubwa wa wananchi wanaoishi kwenye mazingira mabovu, miradi kukwama kutokana na ukosefu wa pesa, ukosefu wa maji safi na salama, huduma mbovu za kijamii, high rate of unemployment, embu niambie huo uchumi uko wapi 😂😂😂
 
We r close to graduate from ldc status,
When we cross per capital of $1230
Currently our per capital income is $1100

And we are not your enemy,we share a lots not only border ,don't you get it twisted

Sent using Jamii Forums mobile app
I thought you graduated! Ama ile ilikuwa tu ni wimbo wa sisiemu kuwapumbaza kama ilivyo kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…