joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, kuna jamaa mmoja aligongwa na gari akavunjika mguu, katika kujitetea akesema hakuiona gari kwasababu ni ndogo sana, aliomba apatiwe darubini ili aitumie kuangalia MAGARI kabla ya kuvuka barabara.If you did literature in high school, you would understand why the words failed state have been quoted
Hehehehehe leo ndo umejipambanua kwmb ww ni little monkey ss mnavyojifanyaga wa tz kumbe mnapenda kuwa wabongo eehh pole sana little monkey from Nai-Congo landPangeni miji kabla ya kushindana na miji ya watu iliyopangika vizuri, Dar haijapangika na huo ndo ukweli na huwezi kuilinganisha na Nairobi kwa viwango vyoyote. Na kama tutaendeleza upuuzi hata Mombasa itatupita sana tu
Unafikiri aliyetengeza hizo satellites akaonesha slums kila kona ya Nairobi ni mjinga kama wewe halafu hakuonesha slums Dar ni mjinga kama wewe?Nairobi iko na slums, and we all know it. Unafikiri sisi ni kama nyinyi who live in denial? No we don't. Outside those slum areas, Nairobi is an organized city than that glorified fishing village of yours. Huwezi kutana na sehemu kama hizi Nairobi outside slums. Huwezi kutana na hizi ujinga mnaita dream houses hata utembee hadi wapi View attachment 1326521View attachment 1326526View attachment 1326532
Ss ulivyo mjinga usio na kipimo yn povu lote hilo mji wenyewe unaouongelea tusiufananishe ni Nairoba ya kenya [emoji3][emoji3][emoji3] ww aisee ni mwehu kweli yn huoni ata aibu me nlizan utasema joburg au Cairo eti unaongelea Nairoba jiji lenye slum kila kona yn kitendo tu cha kuzungukwa na slum limeiondolea sifa ya kushindana na DarHahahaaa eti mamluki, sijui hata kama unajua maana ya hilo neno. Hebu kuweni wa wivu wa maendeleo na kuboresha vya kwenu na sio kupambana na wale ambao waliisha wazidi katika kupanga miji yao na kuiweka safi
Unaeza ukawa unaishi tabata lkn ukawa co mtz mbn wakenya wenzio wapo wengi tu wanafundshaYaani nyinyi watu mna matatizo makubwa kwa hiyo mtu akisema kitu fulani Tanzania hakiko vizuri basi ni Mkenya, karibu nyumbani kwangu hapa Tabata Magengeni nikupe kitimoto hapo MICASA.
Nikuulize hivi wamachinga walipoachwa kuzaa kila mahali hata hiyo tunayoita CBD hebu mtwambia ni according to which town planning mode/approach?
Duh mpangilio tu wa elimu yko haueleweki [emoji3][emoji3] bac bhn ngj nkuacheDuh yaani hata sijui nisemeje. Haya, ila ngoja nikwambie sasa, Nimezaliwa Kayanga, Karagwe na kusoma shule ya Msingi Kayanga, shule ya sekondari Karagwe Sec, high school Dakawa High Schoo Morogoro, then university of Dar es Salaam, St. Augustine university na Open University of Tanzania. Basi wewe nieleze natoka Kenya ya wapi ndugu??
It's really stupid how you compare those suburbs to Dar's informal settlements. Why not compare them to these? See who's dumb? Usidhani kuwa hatuwezi kupiga screenshots piaThis is Nairobi (eastlands alone). And then some moron got guts to say Dar imepangika kushinda Nairobi. WTF!! View attachment 1326554View attachment 1326555View attachment 1326556View attachment 1326559View attachment 1326565View attachment 1326566View attachment 1326570View attachment 1326571View attachment 1326573View attachment 1326576View attachment 1326578View attachment 1326579View attachment 1326580View attachment 1326581
You are just a sycophant moron nothing elseDuh mpangilio tu wa elimu yko haueleweki [emoji3][emoji3] bac bhn ngj nkuache
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu angalia muandiko wako[emoji3][emoji3][emoji3]You are just a sycophant moron nothing else
Mimi sio mtaalam kwenye maswala ya uchumi ila ukicompare gap ya real GDP na Consumer prices changes unaona kabisa nani anaishi maisha magumu:Hii habari mbona hamkuiweka hapa majirani??
Imf ndio final say wa hizi report pekee au ni wivu tuView attachment 1326427
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wana akili za kitoto sana, wanaamini ili mji uonekane umepangwa ni kujenga nyumba kwenye mistari kama gwaride/paradeView attachment 1326460View attachment 1326461View attachment 1326462View attachment 1326463
Kwa wa Kenya hapo watakwambia na London haijapangika kama Nairobi hahaaa
Naomba unijibu swali moja tu sikuulizi mengine, mtu anaeishi tandale na kibera, ni nani kati yao maisha yake yapo hatarini kiafya?You are just a sycophant moron nothing else
Utasumbuka hadi ulie but that won't change the fact that Dar is a disorganized city not worth comparing with Nairobi. That will never change. Pangeni hicho kijiji chenu before you even start thinking of comparing it with NairobiUnafikiri aliyetengeza hizo satellites akaonesha slums kila kona ya Nairobi ni mjinga kama wewe halafu hakuonesha slums Dar ni mjinga kama wewe?
Hapo unachoonesha ni picha ambayo hujazizoom na mabati yaliyochakaa na sio kingine,
Hiyo mwananyamala juzi RRONDO alipost picha za mitaa hiyo lakini cha kushangaza hadi leo mmefunga macho Mnajifanya hamzioni,
Ushapewa hadi videos lakini cha kushangaza huwa unajifanya huzioni 😂😂😂
Tandale kumetandazwa lami hadi vichochoroni.
Hawa watu hawajielewi kabisa.Nairobi iko swafe.....though not perfectView attachment 1326639View attachment 1326641View attachment 1326644
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasumbuka hadi ulie but won't change that Nairobi ni headquarters za slums duniani,Utasumbuka hadi ulie but that won't change the fact that Dar is a disorganized city not worth comparing with Nairobi. That will never change. Pangeni hicho kijiji chenu before you even start thinking of comparing it with Nairobi
wewe ndo sycophant!You are just a sycophant moron nothing else
LOL.........REMOVE THOSE EFFECTS AND POST YOUR PATHETIC CITY RAWIt's really stupid how you compare those suburbs to Dar's informal settlements. Why not compare them to these? See who's dumb? Usidhani kuwa hatuwezi kupiga screenshots pia
View attachment 1326601View attachment 1326603View attachment 1326604View attachment 1326611