Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani kwa sasa Tanzania sio nchi ya nyie kushindana nayo ni Bora mujipange tu ila kushindana na Tanzania hio kusahau hakuna sector hata moja Tanzania imelala hakuna hata mojaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na sector zote zimeinuka within 3 years yani ni motoooooπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Si ndo maana JPM anapigaga ban bidhaa zao hawa washenzi! Counterfeit imezidi mara unga umeoza mara sukari iliyooza mara pads mara kuku chooni! Mungiki ni washenzi!
Maisha yao ni maigizo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Naiomba serikali ya Tz iendelee kuagiza hz bus toka china hzo body anazotengeneza uyo muhindi wa kenya bora tuwape nyumbu watengeneze
mbona DART walishakatazwa kama unakumbuka mwenye kampuni UDART Kisena alipelekwa mahakamani yeye na mkewe kwa ku-breach mkataba na kutaka kusamehewa kodi! Haya mabasi ya DART yako very modern ISUZU Kenya haina technology hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…