Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thread imenionyesha mengi mazuri lakini ili kuendeleza msiache kupambanisha mambo ya local movies, music na usanii kwa ujumla vilevile ebu tuleteeni taswira za mikoani na majimboni kunafananaje mfano Mombasa, Kisumu, Eldoret au Arusha, Mwanza, Mbeya, n.k.
Movie na music
Hatulinganishi na hao watoto
 
michezo pekee ambayo hao jamaa wametuzidi ni riadha, rugby na kidogo netball.

football,boxing,basketball, swimming,martial art,body building,car racing,motorbiking etc.hawatuwezi.

tanzania tunashiriki michezo mingi sana.
 
hahahahaha toa athletics, Kenya sie ni bingwa wa Africa kweny nyanja nyingi sana Africa. Football labda waGanda waongee, nyie ni simba na Yanga tu, hamtishi yeyote, boxing kwenye Olympic mlifika wapi? hebu angalia mshiriki wa kenya kwenye ndondi alifika wapi. Car Racing? swiming? hahahahaaa aisee you are living in a bubble Kadoda
 
hizo zote hakuna continental au international level nishai ona mumetamba kutuliko wacha uongo, bado kumbuka Kenya kuna hockey, volleyball, cricket, golf, cycling. You guys are just better at online sympathy hapo nakubali mumetuzidi.
 
Juzi riadha Alphonce Simbu kawatoa jasho standard charter marathon kidogokidogo mtabaki mmetuacha tuu kwenye
Rugby
Cricket bass

Heshima kwake Alphonse Simbu, Kenya kwenye riadha wala usiote, ndugu zetu Ethiopia washatutoa jasho miaka na miaka ebu saa hizi wako wapi?
 
Does Tanzania participate in sports in the first place? that should be the question. Kusema ukweli me sijawai waskia anywhere near the international arena.
 
Heshima kwake Alphonse Simbu, Kenya kwenye riadha wala usiote, ndugu zetu Ethiopia washatutoa jasho miaka na miaka ebu saa hizi wako wapi?
Subiri time will tell!
Hata roma ilikuwa empire ngumu
ila ilifall majivuno sio msingi. Wenzenu hawajalala mjue
 
hahahahaha toa athletics, Kenya sie ni bingwa wa Africa kweny nyanja nyingi sana Africa. Football labda waGanda waongee, nyie ni simba na Yanga tu, hamtishi yeyote, boxing kwenye Olympic mlifika wapi? hebu angalia mshiriki wa kenya kwenye ndondi alifika wapi. Car Racing? swiming? hahahahaaa aisee you are living in a bubble Kadoda
let's assume that you guys are leading in all types of sport except music and movies.how does that feel bro?.

Itakuwa poa tukianza kwa kuweka picha.hii thread haitaki maneno mingi.inataka picha.

BTW why are you avoiding to share or discuss security matters that are affecting both people of dar and Nairobi?.is security not an important issue for nairobians?SMH.
 
Nairobi sio jiji salama la kuishi.
8th December 2016.
04df2b42205e29365f6655d09cd332ad.jpg
 
Nairobi sio jiji salama la kuishi.
8th December 2016.
04df2b42205e29365f6655d09cd332ad.jpg

Tell that to all the multinationals and NGO's queuing to set base in kenya despite all the insecurity, threats and advisories posed by terrorism and overlooking our neighbors who enjoy 'peace and tranquility'. Y'all need to sit down and ask yourselves some really hard questions.
 
Hanna kitu hapo,hayo maneno yako kamdanganye mtoto wa nursery school .hiyo peace and tranquility haipo kwa watu wa Nairobi,labda huko kenya mashinani.

many people of nairobi suffer from anxiety disorder as caused by post election violence, terrorism and crime events,I can prove this if you ask me.
 
hivi umeelewe kweli alichosema Smatta? hasa kwenye red? ebu rudia kusoma...... huenda ukaelewa this time round.
 
Hanna kitu hapo,hayo maneno yako kamdanganye mtoto wa nursery school .hiyo peace and tranquility haipo kwa watu wa Nairobi,labda huko kenya mashinani.

many people of nairobi suffer from anxiety disorder as caused by post election violence, terrorism and crime events,I can prove this if you ask me.

Born and raised Nairobian here, I've never EVER been robbed, carjacked, or had grenades hurled at me. ukija Nairobi usiogope kuni PM, need to show you how good we have it.
 
smatta Mimi sio mgeni wa Nairobi,napafahamu vizuri sana.

napafahamu vizuri sana hasa ktk matukio ya na uhalifu.

nikupongeze wewe binafsi kwa kutowahi kukabiliana na madhira yatokanayo uhalifu.
ae5a41c6a9a04b13e172691bdfb06d7a.jpg
 
Back
Top Bottom