Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LOL wananiachaga hoi tu wanavyoita mitaa yao "ESTATES"

Hili la maji machafu halistui sababu it's obvious that water is a permanent crisis in Kenya
Kwenye counties zingine itakuwa ndio balaa na ndio maana walikimbia ule uzi wa maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ndio maana majina ya maeneo yakaitwa kingereza upperhill, eastland , westland basi wanajiona kama ulaya kumbe wamekua brainwashed hili wasione matatizo yao ya msingi kama cholera chanzo kikubwa ni uchafu haswa ya maji safi na salama.

kitochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…