Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 525
- 1,424
Ahaaaaa. 🤣🤣🤣🤣🤣
Wameenda kibera kwanza kujadilianaInauma lakini itabidi wazoee tu 😂😂😂
Halafu na msitu mnene
Believe what you want kijana wa tandale. Siwezi toa fikra umewekewa akilini mwako na mababu zako led by Nyerere himself. Who am I to do that?Na hio ndio ukweli hata mama hutaki mashamba ya ardhi yenye ratiba yote yako chini ya white settlers wewe mzungu anapanda maua akauze kwao anawaacha wakenya million 50 na njaa alaf unakuja hapa kuongelea GDP😀😀😀😀 nimeenda Kericho mm mashamba karibia yote ya wazungu tena mzungu alivonaakili kawajengea mpaka vijumba wakulima wakae pale pale 🤣🤣🤣🤣
Kuna Slums kila kona ya nchi yao 😂😂😂Wameenda kibera kwanza kujadiliana
How does a court case make it a white elephant? Unajua maana ya kitu kuitwa white elephant kweli ama wewe unapurukuka tu? I know English ain't your stronghold so hold your horses. We are a country governed by the rule of lawNa nikisema ni white elephant 🤣🤣🤣🤣 na sio hio zipo kibao kuna montave kuna Nairobi 88 etc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu zoom utuoneshe slum mm nataka kuona kati ya ww na mzungu nani anaakili 😀😀😀😀😀View attachment 1323964
VS
View attachment 1323965View attachment 1323982
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Afadhali "msitu" a million times
Hapo ushamtimua tayari 😂😂😂Hebu zoom utuoneshe slum mm nataka kuona kati ya ww na mzungu nani anaakili 😀😀😀😀😀
Hahahah leo miaka mingap hvi ww unataka kuona watu wajinga sana humu 😀😀😀😀😀😀How does a court case make it a white elephant? Unajua maana ya kitu kuitwa white elephant kweli ama wewe unapurukuka tu? I know English ain't your stronghold so hold your horses. We are a country governed by the rule of law
Yani anachukua picha ya satellite iko juu kam zaidi 40 alaf anakwambia slum 😀😀😀😀😀😀 yani wamezoea kwao neno slum sasa anahisi ziko kila sehemuHapo ushamtimua tayari 😂😂😂
Hata mimi siamini ninachokionaNa hii thread ilipoanza wakenya wengi walikua hii ni ile dar ya 90s walikuja na dharau nyingi sana hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 leo hii hawaamini wanachokiona
Ipe caption yoyote hii pichaBelieve what you want kijana wa tandale. Siwezi toa fikra umewekewa akilini mwako na mababu zako led by Nyerere himself. Who am I to do that?
Nimekuuliza kwamba unajua maana ya white elephant ni nini?Hahahah leo miaka mingap hvi ww unataka kuona watu wajinga sana humu 😀😀😀😀😀😀
What about that picture? Is there anything that shows it's Nairobi or Kenya?
Yani mabibo ndio unafananisha na cbd yenu?mbona umeishiwa sanaView attachment 1323964
VS
View attachment 1323965View attachment 1323982
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Afadhali "msitu" a million times
Ni wapi nimetaja neno slum kwenye post yangu? Mbona huwa unajishuku sana kila tunapopost hizi picha za dream houses zenu na kuanza kutajataja neno slum? I only showed a picture of your dream houses. Hivi, dream house yako iko wapi hapo ndani?Hebu zoom utuoneshe slum mm nataka kuona kati ya ww na mzungu nani anaakili 😀😀😀😀😀
Since when did Community area become Nairobi's cbd. Mwenzako alisema Nairobi ni misitu so I only showed him moja ya hizo misitu na kulinganisha na Dar yenu yenye haina misitu. Mbona Umekasirika? Kumbe hata nyinyi pia mngependa Dar pia iwe na misitu ila kusema ndio hamtaki!!! 😂 😂 😂
They'd rather call them unplanned settlements but not slums forgetting that the words slums and unplanned settlements are used interchangeably. Inferiority complex plus living in denial is a lethal combinationKumbe unazipenda estate na unapenda town planning kwa nini unaendelea kujenga dream houses kwenye slums across Dar na other towns hapa Tzn?
Mimi nadhani tuendelee kujenda hivi hivi ili iitwe unplanned settlements sio slums kwa vile muzungu/beberu haioni kwenye google kama wenzako wanavyosema humu jukwaani