Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata Reuters ni Gazeti ya Kenya? 😂 😂 😂

Then there's nothing like "funder". I only know of financier
 
Sema fact ni kenya haina pesa za kutosha kujenga project ya zaidi ya $1b na sio kusema eti hapa EA Hakuna nchi inayoweza kujenga...
Sasa mbona nyie mnakopa na bado sector zingine zinakwama?
Bila kusahau construction of giant hydropower dam ambao utakua fourth-largest in Africa and ninth in the world na itacost $3 billion [emoji23][emoji23][emoji23] yaani vitu visivyo wezekana kenya.,
Usisahau pia mauzo ya madini yameongezeka mara dufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona serikali ya Tanzania imenunua mpya na amount imezidi hizo $1bil . sema kenya walidiminate sector ya viwanda mda mrefu sasa upinzani umekua mkubwa East Africa hata omo walifunga kiwanda chao Dar es salaam.
ni mda wa competion sio kipindi cha nyuma wao ndio magiant wa viwanda. nasikia wanawazuia wafanyabiashara wao kuimport lato milk kutoka uganda. wakenya siku mambo yamebadrika

kitochi
 
Tangu lini Tanzania ikawa a hub of anything in East Africa? Kenya got its broadband connectivity from United Arab Emirates in 2009 (google TEAMS).
 
Inauma sana but itabidi uugulie pole pole na hapo nimepost data za 2014 😂😂😂
 
Pumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SGR Mwanza-Isaka loading...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…