Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kizungu kizungumkuti πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚. Hiyo tunajua. No man is an island, we all need each other in one way or another. Leaders from the west and east visit Africa so many times. This is just a lame excuse
Huyo uhuru anayesafiri ovyo amewafanyia nini cha maana zaidi ya kuwaletea mashida kibao na madeni yasiyolipika?
 
Sasa wewe ulikuja Nairobi ukahesabu idadi ya miti dhidi ya idadi nyumba na ukapata miti ni nyingi kuliko nyumba? And what's wrong with that even if it's true? That's why Nairobi is the headquarters of UNEP. It's by default. Ama ni wivu tu coz unataka Nairobi ifanane hivi? πŸ‘‡ πŸ‘‡
 
Huyo uhuru anayesafiri ovyo amewafanyia nini cha maana zaidi ya kuwaletea mashida kibao na madeni yasiyolipika?
Sisi sio kama nyinyi mnaosamehewa madeni. Tunakopa kwa sababu tuko na uwezo wa kulipa. Hata deni ya SGR tushaanza kulipa already. Usiwe na shaka ndugu
 
Sisi sio kama nyinyi mnaosamehewa madeni. Tunakopa kwa sababu tuko na uwezo wa kulipa. Hata deni ya SGR tushaanza kulipa already. Usiwe na shaka ndugu
Sio kwamba eti hamtaki kusamehewa ni kwamba Walio wakopesha hawataki kuwasamehe,
Mngekuwa na uwezo wa kulipa msinge nyimwa mkopo wa kumalizia ile reli isiyoenda popote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio kwamba eti hamtaki kusamehewa ni kwamba Walio wakopesha hawataki kuwasamehe,
Mngekuwa na uwezo wa kulipa msinge nyimwa mkopo wa kumalizia ile reli isiyoenda popote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtu anasamehewa deni Kwa sababu hana uwezo wa kulipa, sio eti aliyemkopesha ameamua tu kufanya hivyo. Ni huruma mlionewa being that you are an LDC and you have so many problems to deal with. About reli kumalizika, you need to update your knowledge on current matters

Ldc lakini inajenga miradi yake kibao bila kukopa kopa ovyo mfano mradi wa reli tena ya umeme Dar-Moro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini cha ajabu nchi inayojisifu kuwa na uchumi mkubwa eti hadi km 1 hadi ikope.

Acha uongo[emoji23][emoji23][emoji23] Your SGR is loan kuanzia mwanzo hadi mwisho. First phase was funded using loan from Turkey[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi sio kama nyinyi mnaosamehewa madeni. Tunakopa kwa sababu tuko na uwezo wa kulipa. Hata deni ya SGR tushaanza kulipa already. Usiwe na shaka ndugu
Hahahaha, mnalipa Madeni kwa kukopa tena, hamna uwezo wa kulipa ninyi ni taifa masikini njaa njaa tu. Kama hata chakula mnategemea misaada, mtapata wapi pesa ya kulipa Madeni?, mchina alistukua na kukataa kuendelea kuwakopesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source please, na kawaida mkopo ukitolewa kunakuwepo na siku ya kutia sahini mikataba mbele ya waandishi wa habari, kama ninyi mlivyofanya, unaweza kutuwekea clip au taarifa kwamba hili zoezi lilifanyika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tomato sauce.

When standard Chartered Bank gave you loan was there a clip?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa za ndani indeed πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Living in denial won't save your a**es
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…