Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,852
- 103,715
CC: Teargass![]()
Kenya yaomba msaada wa chakula tani 200,000 za mahindi kutoka Tanzania
Kenya imeomba msaada wa chakula kutoka Tanzania kiasi cha tani laki mbili (200,000t).Tanzania imekubali na makubaliano yameishasainiwa jana nchini Kenya baina ya waziri wa kilimo chini ya balozi wa Tanzania. Wafanyabisashara wa kitanzania watasafirisha na kuuza mahindi nchini Kenya kutoka...www.jamiiforums.com
