Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati huko kwa jirani wachina wanawanyanyasa, kuwachapa viboko na kuwabagua wakenya, huku nyumbani mambo ni tofauti kabisa, hii ndio faida ya kutekeleza miradi kwa pesa ya ndani, unapata Uhuru wa kumdhibiti mkandarasi akileta ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishakwambia over 30 ni 11 dar na 10 Nairobi hio mbona yaeleweka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na juu Yapo usisahau dar imejengwa within 12 yrs hio usisahau maisha yako yote
Acha tuanze na Millennium tower. Prove to me that it is 30floors[emoji23][emoji23]. Ukiprove nahama jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya hawajaisamehewa deni kama Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri hiyo post yangu. Loan msiyoweza kulipa, hamna uwezo hata wa kulipa Madeni yenu matokeo yake wauza mchicha na karanga ndio mnawakamua kulipa Madeni.

Reli imeishia porini, hata kumalizia ifike Kisumu hamuwezi, reli yenyewe ni diesel engine, ingekuwa ni electric mngeuza hadi kuku ili kulipa deni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujaisamehewa deni kama Tanzania.

Back
Top Bottom