Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😁 Unaigopa Dar...
 
Wazingatie tu suala la usawa icje ikawa ni makazi ya watu fulani fulani tu km nyumba wanazokaa wahindi kariakoo ukienda mtu wa kawaida upati chumba mpk upitie seem seem au uwe muhindi
Na kweli kiongozi ila kwa nhc hawanaga ubaguzi kwa yeyote yule mwenye uwezo anamiliki nyumba na wananyumba za bei tofauti kutokana na kipato cha mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…