Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ni ufukweni ulitaka watu wavae makoti?!!!Ondoa ushamba wako hilo sio danguro,kutoka hapo ni hatua kama kumi tu uko kwny maji.Watu wako na raha zao haina ubaguzi tajiri maskini ruksa kula bata kokote.
Itakuwa koko beach nn mana apo watu huwa wana beng mpk majogoo nazani ameinjoy sn apo anajitia uwehu tu
 
Inakuhusu sio mm ni world bank😂😂😂😂

Wewe ungeambia watu wa Kisumu wakupe omena uongeze maarifa 😂😂. Investors were concerned that there might be an oversupply of housing in Nairobi. Most have actually been talking of a housing bubble in Kenya for the last 3 years. Take a drive through most residential houses utaona a lot of vacant units
 
Itakuwa koko beach nn mana apo watu huwa wana beng mpk majogoo nazani ameinjoy sn apo anajitia uwehu tu
Ni jangwani sea breeze Mbezi beach.ushamba wake tu hajazoea kuona watu wakiinjoi namna hiyo,yeye anawaza ngono tu muda wote.Anadhani kama Nairobi bata za mafungu,huku mtoto wa maskini tajiri hakuna mipaka kuleni happy wote.
 
Kusema kweli tuweni wawaz tu kitu ambayo Nai inaizd Dar ni hali ya ubaridi tu ambapo kwa uku Tz kuna maeneo yana hali ya hewa nearly Europe lkn kwa vitu vingine tuacheni kabsa ku compare tuwe serious jamani
 
Karibu Dar es Salaam mgeni wetu.Jiskie uko nyumbani.kuna maeneo mengi tu ya kuinjoi kama ilivyo kwenye miji mingine mikubwa.Usichukulie upinzani wa JF kwenye maisha yako yakawaida.Life is Good in Dar.
 
Mjinga walahi ni wewe maana hujielewi mlipiga mjerumani kivipi na mlitawaliwa? Nchi ya kiafrika pekee ambayo ilishinda mbeberu ni Ethiopia,zingine zote ni colony la mbeberu.
Mjinga ww ata historia ujui nenda kagoogle uliza mjerumani alipgwa na nani apa Afrika af tuambie na nyie laziest people in the world mliwah kuwapiga mabeberu gn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…