Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku ndo Uswazi sasa, the places for the low income people....
Parts of Magomeni, Kigogo kwenye picha

Usisahau basi kwenda Tabata(Segerea + Kimanga), Mbezi ya Kimara, Goba, Makongo, Bunju, Ununio, Boko, Tegeta, Mbezi Beach, Kunduchi, Mbweni, Madale, Kigamboni, Tuangoma, Kibada, Mji Mwema, Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Mikocheni, Msasani, Kinondoni, Ubungo

hizo tuu chache where from what i know huko ndipo wanapoishi wenye vipato vya kati na juu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua upo Dar, nakukumbusha ya kwamba those places ndo wale wenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi....

Kigogo, Mburahati, Manzese, Tandale, Buguruni, Vingunguti, Kiwalani, Yombo, Mabibo, Tandika, Keko, Buza, Mbagala sehem hizo zote zinafanana kimazingira though kuna mixture ya raia wenye vipato vya kawaida na vipato vya chini

In Dar we've no such huge gap btn walicho nacho na wasiokua nacho

Si mbaya uki post na nyumba nzuri utakazokutana nazo ukiwa sehem tajwa hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Excuses vibao. Dar is an embarrassment to EA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwacheni mgeni wetu ahangaike ila ajue kabisa hatoweza kukutana na mtaa wa nyumba za matope mabati ama mtaa unaofafana na zizi la nguruwe kama kule kwao Nairobi,pia namshangaa anapopiga picha maeneo ambayo watu wameshalipwa fidia au wako kwny tathimini kwa ajili ya kupisha sehemu hizo kwa ajili ya development.Unahangaika sana kijana.
 
Excuses, Excuses, Excuses. A Tanzanian hajawaikosa excuses. So hii hapa ni nyumba ya concrete?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Excuses, Excuses, Excuses. A Tanzanian hajawaikosa excuses. So hii hapa ni nyumba ya concrete?View attachment 1307077

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vibanda vya bati sio nyumba za kuishi in kiosk tena ukute mtu anajihifadhi hapo kwa ajili ya kusubiria watu wanaokusanya chupa za plastic mitaani kwny kujitafutia riziki aisee kama zingekuwa nyumba basi duh hao watu watakuwa wanalala wamesimama very tiny.
 
Ebu niambie eneo Dar imepita Nairobi.
1. Barabara, Nairobi is ahead.
2. Housing sector, Nairobi is ahead
3. High rises, Nairobi is ahead
4. Education, Nairobi is ahead
5. Economic strength, Nairobi is ahead
6. Nairobi has high number of international organizations
7. Malls, Nairobi is ahead
8. Cleanliness, Nairobi is ahead.
9. Wealth, Nairobi is ahead
10. Airport PAX, Nairobi is ahead.
11. Five star hotels, Nairobi is ahead.
12. Health sector, Nairobi is ahead.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua saa hii hamtakubali. Dar is one of the poorest cities in the world.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magomeni,kigogo wanaishi watu wa kipato Cha Kati, hebu nambie kule tandale,mabibo, manzese etc wanaishi wa kipato kipi? Dar yote ni uswazi hata kule unako sifia Zile nyumba za mbezi bado hadhi yake ya chini mno ,sinza hata usitaje hamna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nimepapenda Sana hapa Jangwani sea breeze jinsi watoto wanajiachilia kipwani ,Hawa wakiendelea hivi basi sioni VVU vikipungua Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa watoto wakijiachilia hivi basi VVU havitopungua
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…