Ilete wenzako pia waione[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niogope ujinga,
Nimetafuta hiyo link nimeisoma yote,
Kwanini umecrop sehemu waliyo andika asilimia za watu wanoishi kwenye umasikini kenya,
Ulidhani mimi ni mjinga eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni juhudi zetu tu.
Victoria hapo,km 8 toka cbd,huko kwenu mtr 200 toka cbd unaanza kukutana na slumsBelow are images of Moi Avenue. Does it look like a residential area bongolala? View attachment 1303483View attachment 1303484View attachment 1303486View attachment 1303487View attachment 1303489
Nenda screenshot yote ipost hapa bila kucrop kitu,
Ushamfukuza tayari😀😀😀😀Nenda screenshot yote ipost hapa bila kucrop kitu,
Ukibishana na mimi hakikisha una tumia akili na sio makwapa.
More than just growth: Accelerating poverty reduction in Kenya
Kenya has been covered widely in economic news over the last decade, from the first large-scale application of mobile money to a vibrant technology hub in Africa. Indeed, Kenya experienced robust economic growth from 2005-06 to 2015-16, growing at an average annual rate of 5.3%, higher than the...blogs.worldbank.org
Aliscreenshot akajua labda sitofuatilia alikotolea 😂😂😂Ushamfukuza tayari😀😀😀😀
Noma mzee Mungiki mmoja amenifata inbox anasema hzo boti mmefny editing tu iyo bendera ila ni America iyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unadanganya huku naona kabisa so kwenu hamna masikini kabisa masikini wapo USA CHINA SA.back to school narudia kukuambia tenaHakuna mtu amesema hatuna people living in extreme poverty ila idadi yetu ni ndogo ikilinganishwa na yenu ndio maana hatujawekwa kwenye hiyo list ya top ten.
OkurrrrrrrrrrrrrrrrSGR Kenya's messy
Heheheheeee licha ya kuficha ficha lkn mafuriko bdo yanaonekana kwny hii picha
Bwaahhhhh slum boy ngoja nasisi tujenge slum na kurusha flytoilet ili tuwe Matajiri kama nyinyiBwahahaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujue mwaka umeisha so soon za 2019 zitakua hewani...
Kw umaskini EA namba za juu juu tumewaachia nynyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hooo wakenya wasomi wakenya wasomi cha kushangaza haya maswali mawili wanashindwa kunipatia JibuBwahahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekwambia km huamini lete data za world bank afrika nzima tulinganishe...
Mbna unaogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Du mbona kadogo hivyo mm nilijua kelele za Westland ni mji kama km10 kutoka cbd arafu wanakuja kubisha hapa kuwa nai ni kubwa kuliko dar pumbavuu sana ndiyo maana sijawai kusikia MTU kapotea Nairobi ila hapa dar wakija wanapotea kila siku unakuta mkenya yupo dar Kwa miaka 10 ila bado anapoteaNairobi ni ndogo sana duhh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 1304349View attachment 1304350
Kwakweli haya ni mapinduzi makubwa sn na nlikuwa nasema hii nchi ilihitaji uzalendo kdg tu kufny wonders ss dalili za mafanikio makubwa zinaonekana kila unapogusa kumekucha..
Nyuma ya hiyo building kuko hiviVictoria hapo,km 8 toka cbd,huko kwenu mtr 200 toka cbd unaanza kukutana na slumsView attachment 1304344
Sent using Jamii Forums mobile app