Heheeee!!nionyeshe kitu cha mana kando ya hzo zenu tano bora[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli kijana naona umeshaishiwa swaga
Yaani kunya land kwenye sekta ya afya mtasubiri sana na bado tutawapiga gap mpaka mushangaye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka una usafiri wa maana! Kongole. ...Namimi niko njiani kuja kuongeza nguvu, mwambie @ Teargass tuonane kesho jioni tuburudike na chang'aa ...
View attachment 1302871
Hakuna nguzo za miti kenya jomba, walizipoteza kitambo ndio wakaanza kuweka za zege...[emoji115][emoji115][emoji115]Acha uvivu uwe unapitia comments za wakora wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ushahidi kuwa wakenya awapendi kujulikana wapi wanaishi sasa ichoboy kuonyesha wapi wakenya wanaisbi imewaumiza sana wakenya ,mkenya kukukaribisha kwake ni mwiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatulinganishi. Tunawavua chupi zenu ili watu waone maisha yenu yalivyo magumu sio mnavyokuja hapa kuonyesha nyumba ambazo wanaishi wazungu na wahindi.
Nimekuja Kuna jamaa zangu huku kuwatembelea tulieni basi bado nipo huku picha zinakuja 🤣🤣 acheni wasiwasi basi plzHuko ni ushago. Uko ndio umezoea kukaa, I thought you were in Milimani, Riat, Tom Mboya, Mamboleo ama Arina Estates. Ndio maana unapita kwa slums[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap nimefkia huko but jana nilikua na tumelala kwa jamaa zangu huku so nikirud tu picha utazipata hapa🤣🤣🤣🤣🤣 acheni uoga basiIchoboy si ulisema uko Kisumu hotel ? Hadi nikakuambia upige hiyo area picha juu that's the beginning of CBD kutoka juu. Mbona hukupiga picha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oya jaman enhh mutakuja waua hawa watu🤣🤣 mutafanya wakimbie tena hii thread😂😂😂Namimi niko njiani kuja kuongeza nguvu, mwambie @ Teargass tuonane kesho jioni tuburudike na chang'aa ...
View attachment 1302871
We unaanzisha vita Xmas..Where is Kenya?
View attachment 1302963
I took this at the world of coca-cola, this section displays a group of unique coke products around the world. And this one in particular is uniquely African but there is no single product from Kenya.
Umekosea...wanaishi "mabeberu"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatulinganishi. Tunawavua chupi zenu ili watu waone maisha yenu yalivyo magumu sio mnavyokuja hapa kuonyesha nyumba ambazo wanaishi wazungu na wahindi.
Ameenda ushagooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko ni ushago. Uko ndio umezoea kukaa, I thought you were in Milimani, Riat, Tom Mboya, Mamboleo ama Arina Estates. Ndio maana unapita kwa slums[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako ameenda kisumu ocha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu ni ushahidi kuwa wakenya awapendi kujulikana wapi wanaishi sasa ichoboy kuonyesha wapi wakenya wanaisbi imewaumiza sana wakenya ,mkenya kukukaribisha kwake ni mwiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama sio kisumu county hzo pic za kaloleni ungezipata vp fala ww😂😂😂Mwenzako ameenda kisumu ocha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yupo kisumu county lkn sio kisumu city
Sent using Jamii Forums mobile app
ArushaLitajengwa wapi? Au jengo la posta pale down town litapigwa mtama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii collection nimeikubaliHowdy neighbors!!!!! From our country to yours.....Merry Christmas.
View attachment 1303016View attachment 1303019View attachment 1303024View attachment 1303029View attachment 1303030View attachment 1303032View attachment 1303033View attachment 1303048View attachment 1303035View attachment 1303036View attachment 1303038View attachment 1303041View attachment 1303042View attachment 1303044View attachment 1303043View attachment 1303046