Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]hamna kitu hapo ,,,we endelea kujifurahisha na hayo mabanda ya kila siku same looking no new in nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
I can feel your pain! 😂 😂 😂 Leta dream houses tuone ndugu yangu ama upambane na hali yako. Mbona unaweweseka? I can bring hundreds of such estates "owned by wabeberu" coz I know you'll not be able to bring any in response if not dream houses
 
SIWEZI KUHAIBISHA JIJI LETU LA KISASA NA HIZO ORDINARY HOUSES ...,...nenda dubai ujionee hauwezi kuta kutu kama hizo same loooking dizain za miaka ya 1940 endelea kupost ili nichague hapo hostel bomba ili niwalete watoto wangu waje kukaa watakuwa wanaenda shule kwa private flight kuja dar in next year,,,,

sema sipendi kuwe namuingiliano kama huo maana hivyo viota vimekaribiana karibiana huwa hawapendi distab kabisa...[emoji28][emoji28][emoji28]

zingatia hilo lete angalau yenye fensi nitakulipa pesa ya udalali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli zinakaribiana na zinafanana. Lakini hazikaribiani na hazifanani kama hizi dream houses that you are so proud of 😂 😂
 
Is this the kisasa you mean......braaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daresalaam is just an overgrown uswazi......
There's no touch of modernity over there.....hawana swag kabisaa.
They should visit ,Nairobi and see how Kenyan s got swagg.
Ni kweli zinakaribiana na zinafanana. Lakini hazikaribiani na hazifanani kama hizi dream houses that you are so proud of [emoji23] [emoji23]
View attachment 1300344

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daresalaam is just an overgrown uswazi......
There's no touch of modernity over there.....hawana swag kabisaa.
They should visit ,Nairobi and see how Kenyan s got swagg.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swagg zipi 😂😂😂
Za kuishi kwenye slums, za flying toilet, au za kutonanii ukitoka toi na kuacha chenga chenga kule maeneo.
 
Daresalaam is just an overgrown uswazi......
There's no touch of modernity over there.....hawana swag kabisaa.
They should visit ,Nairobi and see how Kenyan s got swagg.

Sent using Jamii Forums mobile app
That's why you see them here talking bad coz they have nothing to show outside the cbd. 90% of the pictures they show here ni za cbd and the surrounding areas. Ask them to show photos of residential areas utangoja sana. At the very best, they'll keep reposting the few residential areas that they've been posting here since this thread started.
 
Hehe........those hovels dominate their entire city.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sindano zinawaingia hadi mnabaki kudanganyana na mwenzio 😂😂😂 kweli ndege wanaofanana huruka pamoja.
 
Proper level 5 hospitals[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiki ni kingereza cha wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…