Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tuliza boli. Mchezo bado kuisha. Kwanza malizeni track ya hadi Rwanda na cargo zianze kutembea. Mambo ya kurukia maneno kabla wino hujakauka ni kuonyesha naivety kwa mambo ya siasa za nchi. Kwanza hiyo reli bado hamjamaliza station ya Dar na tayari kusherehekea. Mnapiga kelele za chura tu
I think you suffer from a condition called pathological jealousy. We are not naive. We are open for business. If countries expressed their interest in our SGR project because it's much more efficient what do you expect us to do? Sit down and have sagging cheeks like yours? We are happy about everything we do because we never had a chance to incredible things before. Laugh at us when we receive new airplanes or when we brag about our projects, we don't give the slightest *** because you ain't got nothing like what we have.
 
Nyali Brige. Simple yet still a beauty
Nyali.jpg
 
Bado haijamalizika phase 1 ya morogoro na unaongea mambo ya 722Km, si utulize kwanza
Tena sio phase one tu tunajenga both 1 and 2 kwa pamoja one ina over 70% na two ina over 20% now so tulia uone vile huu mchezo hautaki hasira🤣🤣🤣
 
I think you suffer from a condition called pathological jealousy. We are not naive. We are open for business. If countries expressed their interest in our SGR project because it's much more efficient what do you expect us to do? Sit down and have sagging cheeks like yours? We are happy about everything we do because we never had a chance to incredible things before. Laugh at us when we receive new airplanes or when we brag about our projects, we don't give the slightest **** because you ain't got nothing like what we have.
nasema nyinyi wala si nchi. Kusign deal kila nchi inaweza kusign. Lakini si mtulize kwanza reli ifike hadi Rwanda ndipo muanze sherehe kama wananchi? wajua pesa za nchi si personal account ya mtu na huezi ku guarantee all things hata kule Uingereza. Kile mnachofanyiwa kwa sasa ni PR ya kuonyesha serikali ya awamu ya tano ina mawazo makubwa ili kuwapatia fursa nyingine. Dar - Morogoro bado distnce fupi kwa mawazo mko nayo. Msishtuke the whole project ikienda hadi 2030s
 
Hatujengi kipuuzi tulizana kwanza yani project inajengwa kisasa lakini bado munaumia hvi sijui ikikamilika itakuaje 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

Sgr is already at 650 km........the main intention is the kisumu port..........Uganda is an added advantage too.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mkopo wa mchina mtaulipaje?, huko Kisumu kuna mzigo gani wakuweza kujifanya reli kila siku ipate mzigo wa kutosha?. Kumbuka kila kipindi cha uchaguzi, wajaluo wanachukua reli yote.

Hio Nairobi Mombasa mpaka leo kila mwaka inaendesha hasara na hapo wachumi wanakwambia inaweza chukua zaidi ya miaka 50 kulipa hilo deni wakat reli na treni itakua chakavu🤣🤣🤣🤣
 
Naona waelewa Narobi

Nairobi kuna mademu wachangamfu sana, Sikuwahi kuwa bored,
Ila wana huwa mnabore sana, Washkaji wa Nairobi wakija bongo mimi huwatembeza na kuwapa exposure ya bata mrefu na connections za watoto wazuri ila nikijaga Nairobi wote wanaingia mitinj.
 
Wanaingia mitini coz pesa wanakua hawana alaf hawapendi aibu🤣🤣🤣🤣🤣
 
nasema nyinyi wala si nchi. Kusign deal kila nchi inaweza kusign. Lakini si mtulize kwanza reli ifike hadi Rwanda ndipo muanze sherehe kama wananchi? wajua pesa za nchi si personal account ya mtu na huezi ku guarantee all things hata kule Uingereza. Kile mnachofanyiwa kwa sasa ni PR ya kuonyesha serikali ya awamu ya tano ina mawazo makubwa ili kuwapatia fursa nyingine. Dar - Morogoro bado distnce fupi kwa mawazo mko nayo. Msishtuke the whole project ikienda hadi 2030s
Who cares if the project goes gets completed in a century? My kids will indeed enjoy it. Just say kuwa sasa hivi mmebaki midomo wazi maana sgr yenu itabaki kuwa kama ghost town. Kama sasa hivi mnaforce traders watumie sgr kisa haiingizi faida na UG kakosa hela kwa china kujenga kipande chake, unadhani mna sababu yoyote kutupenda? You are a real psychopath dexter mimi wala sikutanii, hii battle inawapush watu over the edge but don't let it do that to you.
 
Back
Top Bottom