Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kajengeni kwanza cable stayed bridge kama hiyo ndio upate balls za kusuggest chochote on our issues
shida si daraja. Unakwepa the main question. Was it a viable investment given the small returns?
 
The bridge is just three years old. Viability ya project haiwezi kuonekana mapema kiasi hiki lakini baada ya muda lazima fruits zionekane.
 
shida si daraja. Unakwepa the main question. Was it a viable investment given the small returns?
Unajua miradi mingi ya serekali haiko kwa ajili ya kukandamiza wananchi ndio maana unaona return yake hua inachukua muda mrefu kwa mfano hilo daraja design yake ni kuishi miaka 120 so imagine hapo alaf tumia akili ya kuzaliwa ww na ukoo wako🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kigamboni bridge 👇👇👇👇
images - 2019-12-16T205345.912.jpeg
images - 2019-12-16T205352.164.jpeg
images - 2019-12-16T205357.642.jpeg
images - 2019-12-16T205403.488.jpeg
images - 2019-12-16T205421.012.jpeg
 
Naona kama huna habari wewe😂😂😂👇👇👇

Uganda nae kachomoa anakarabati mzimu wa zamani😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇

tuliza boli. Mchezo bado kuisha. Kwanza malizeni track ya hadi Rwanda na cargo zianze kutembea. Mambo ya kurukia maneno kabla wino hujakauka ni kuonyesha naivety kwa mambo ya siasa za nchi. Kwanza hiyo reli bado hamjamaliza station ya Dar na tayari kusherehekea. Mnapiga kelele za chura tu
 
Tatizo lenu nyinyi hua munakurupuka juliana na malaba sasa imeishia porini🤣🤣🤣🤣 na hapo bado mchina anawatafuna vzr tunajenga 722km modern electric train in Africa kwa pamoja my friend from dar to singida makutupora so mchezo huu hautaki hasira au bado una mawazo kama hii ni ile tz ya 90s
 
😂😂😂
 
Bado haijamalizika phase 1 ya morogoro na unaongea mambo ya 722Km, si utulize kwanza
 
Back
Top Bottom