whaaaaaaat.......!!!!!!!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania asilomar kubwa Ni ile haina magari so usafiri kwa mabasi Ni very common infact very few Tanzanians can afford air tickets and don't have an alternative of SGR and other private means.
Tanzania asilomar kubwa Ni ile haina magari so usafiri kwa mabasi Ni very common infact very few Tanzanians can afford air tickets and don't have an alternative of SGR and other private means.
Embu tuoneshe hizo zenu kubwa tuone
Kanusha kwa kuweka data hapa ya idadi ya umiliki wa magari Tz.
Weka hapa nisadiki.
Umepanic tayari🤣🤣🤣🤣🤣Tupewe ratiba sio Twitter
Meter gauge inafanya kazi na sgr mwakani inaanza usiwe na hofu🤣🤣🤣🤣Tanzania asilomar kubwa Ni ile haina magari so usafiri kwa mabasi Ni very common infact very few Tanzanians can afford air tickets and don't have an alternative of SGR and other private means.
Unabisha au???🤣🤣🤣
Tanzanians be like....mwakani...mikakati...tutapanga....lolKitu safi ale Ngong forest
View attachment 1289706
Tatizo lenu Tanzania inawaumiza sana kichwa 🤣🤣Tanzanians be like....mwakani...mikakati...tutapanga....lol
Kuweka ratiba inakufanya upanik?Umepanic tayari🤣🤣🤣🤣🤣
Sana Tena Sana, tunashangaa vipi Nchi inakuwa LDC Karne ya 21.Tatizo lenu Tanzania inawaumiza sana kichwa 🤣🤣
Mwakani Ni jina tumelizoea kulisikia na WatanzagizaMeter gauge inafanya kazi na sgr mwakani inaanza usiwe na hofu🤣🤣🤣🤣
Kinachoahangaza zaidi hushangai mldc kenya kupewa misaada ya chakula karne hiiSana Tena Sana, tunashangaa vipi Nchi inakuwa LDC Karne ya 21.
Wewe huna jipya bana uko nyuma Kama Nchi yako bana...tuko 2019 bado umwekwamilia miaka mitafu iliyopita.Kinachoahangaza zaidi hushangai mldc kenya kupewa misaada ya chakula karne hii
Huku ndio mbeleWewe huna jipya bana uko nyuma Kama Nchi yako bana...tuko 2019 bado umwekwamilia miaka mitafu iliyopita.
Even mm nimefahamu miji mingi ya Kenya ni developed na well planned kuliko ya TznDefinition ya watanzania ya high class suburb is totally different from Kenya, wao mtaa kama masaki ni creme de la creme ya Dar., hapa Nairobi hiyo ni level ya Harlingham or Kilimani.,na bado haifikii Kilimani., coz haven't seen pictures za Kilimani kwa internet., hiyo area u can't just take photos, th ones I see posted in the internet ni few selected areas.,
I love this debate imefanya nimewajua watanzania kimawazo. I know Tz economically and infrastructural. Mtu hanidanganyi humu.
The only place ingeleta image nzuri kwa Dar ni hiyo kigamboni only if haitajengwa poorly disorganised swahili dream houses kama else where.I dont know wabongo huwa mnajiskiaje kuishi hovyo hovyo kama mbuzi wakati karibu nchi zote za africa zimejengwa kwa mipango mijiok kwa hiyo sasa hivi wanazifanyie finishing ee? Itakuwa vyema maana ule mradi ni mzuri sana hasa katika kupanga mji vizuri
Sisi tunapokea zetu. Sasa zile mlizolease mtapokea nini?eti wananchi wangojee ndege waipigie makofi?? 😂😂