Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,034
- 107,533
Yate majengo ya uyoga yalee. ..wakenya muache uchokoraa haya maisha mnayoishi ni uozo mtupu halafu mnakuja hapa na akili zenu finyu
NAIROBI CITYView attachment 1288289View attachment 1288291View attachment 1288292View attachment 1288293View attachment 1288295View attachment 1288296
kweli ni upuuzi sana ,wa wakenyaYate majengo ya uyoga yalee. ..
Najua mnaumia sana kuona vile jiji lenu limenyongwa na dream houses kila kona. Pole sana, huku hatuna dream houses kakamzee ojwani hamna kipya hapo mmemaliza....mkitoka nnje ya hizo banda za njiwa same pozi....mtaishia kupost uozo tu wa maisha yenu halisi.....
Geza status ya Dege Eco Village ikoje maana Magufuli naona kama ameivuruga kabisa na sijui kama inaendelea. The last time i checked hiyo nyumba walikuwa na mpango wa kuzipiga mnadaHii ni kigamboni budaaππππππView attachment 1288151View attachment 1288152View attachment 1288153View attachment 1288154View attachment 1288155View attachment 1288156View attachment 1288157View attachment 1288158View attachment 1288159View attachment 1288160View attachment 1288161View attachment 1288162
Kulikuwa na udanganyifu katika mikataba baina ya wabia wa NSSF na NSSF!Geza status ya Dege Eco Village ikoje maana Magufuli naona kama ameivuruga kabisa na sijui kama inaendelea. The last time i checked hiyo nyumba walikuwa na mpango wa kuzipiga mnada
Masaki kuna apartments kila mahali yet it's Dar's best estate and you are so proud if it. Watanzania levels zenu ziko chini sana. Masaki na hizo apartments zake tunaweza compare tu na Hurlingham, Kileleshwa au Kilimanihalafu anakuja mtu hapa anacompare banda za njiwa za nyayo na ngogi na area kama masaki wakenya ni uozo sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aliyekuambia kuwa masaki kila sehemu ni apartment ni nani.....?...Masaki kuna apartments kila mahali yet it's Dar's best estate and you are so proud if it. Watanzania levels zenu ziko chini sana. Masaki na hizo apartments zake tunaweza compare tu na Hurlingham, Kileleshwa au Kilimani
Bx na ninyi leta boxer wenu aliyewahi kushinda gold kwenye olmpicKwn siku hz kuna winner number 1,2 &3[emoji23][emoji23]
So hutaki au πππππUnarudia picha zako ukipiga kelele.....nionyeshe kitu hatujawahi ona hapo darislum
Dah mara mia bora ya dar kuna afadhaliwakenya muache uchokoraa haya maisha mnayoishi ni uozo mtupu halafu mnakuja hapa na akili zenu finyu
NAIROBI CITYView attachment 1288289View attachment 1288291View attachment 1288292View attachment 1288293View attachment 1288295View attachment 1288296
Hapo sio dar my friend endelea kuokota picha Google useme darππππ dar hakuna udongo mwekundu neverHata spenso tunataka kupajuaView attachment 1288196
Yani hawa kuna maisha ukioneshwa unaeza toa machoziπππππhebu pata picha hii katika mambo najiuliza ni how binaadamu ana survive kwenye nyumba yote mabati how?Dah mara mia bora ya dar kuna afadhali
You are talking about uozo yet jiji lenu limejaa uswazi that have been christened dream houses kila kona. What could be worse than that? Then you talking about wakenya wengi hawawezi kumanage own houses yet Nairobi has the biggest middle-class group in East Africa. What does that tell you? More Nairobians, and Kenyans by extension, have the ability to own houses than your fellows down there. Hizo apartments unaona Nairobi that you call banda za kuku coz of jealousy almost half of them are for sale na ni wakenya wanazinunua. Do your homework well kabla ya kutoa povutuna maeneo makubwa sana hauwezi kupiga rami kizembe kama ufikiriavyo hizo siyo estate za owner mmoja hapo kila mtu kajenga nyumba kwa wakati wake...acha ukunguni
laiti mngekuwa nyie hapo mngeshajaza mabanda ya mabati city nzima serikali yenu inajua fika kuwa wanajua fika kuwa asilimia kubwa ya wakenya hawawezi kumanage own houses[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ingewapa fursa huo mji ungekuwa zaidi ya takataka.....maana hapo tu ni uozo
Leta ushahidi kwamba Nairobi has biggest number of middle class in east Africa hehehhe wakat kibera alone stands with 2.5m people πππππYou are talking about uozo yet jiji lenu limejaa uswazi that have been christened dream houses kila kona. What could be worse than that? Then you talking about wakenya wengi hawawezi kumanage own houses yet Nairobi has the biggest middle-class group in East Africa. What does that tell you? More Nairobians, and Kenyans by extension, have the ability to own houses than your fellows down there. Hizo apartments unaona Nairobi that you call banda za kuku coz of jealousy almost half of them are for sale na ni wakenya wanazinunua. Do your homework well kabla ya kutoa povu
Dah yani wanaroho ngumu kuishi kwenye nyumba za mabati na jua lote hiloYani hawa kuna maisha ukioneshwa unaeza toa machozi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hebu pata picha hii katika mambo najiuliza ni how binaadamu ana survive kwenye nyumba yote mabati how?
Acha kabisa kondoo ukimueka humo anakufa broDah yani wanaroho ngumu kuishi kwenye nyumba za mabati na jua lote hilo
All in all ilikua isiwe masaki tu na kaelewaπππUpanga hio mkali