Hamuwezi songa kwa upuuzi huu nakwambia mutaishia kukopa mikopo isionafaida kwa maendeleo ya Kenya leo hii debt ya Kenya ni 60% debt to GDP ratio alaf munasonga kwenda wapi nchi haina hata pesa ya kujihudumiaLakini haimaanishi hatusongi.
Mutasonga wapi??? Nchi inakufa mikononi mwa kenyattaLakini haimaanishi hatusongi.
Wapi mutasonga kwa upuuzi huu 👇👇👇👇Lakini haimaanishi hatusongi.
Forget it Zanzibar haina comparison EA! Kuna massive three real estate projects aside Bakhresa, Kuna German company n Blue Amber! Halafu kuna Russians, Italians n Swiss hata Waarabu pia!Badala ya ubishi wewe fanya utafiti wako. Maeneo yote sawa
Pumzika tu bro yani Kenya is broke na hii sio itani it's TRUE kabisa na hapo bado big white elephant inaitwa lapset hapo ndipo mchina atachukua hio nchiLakini haimaanishi hatusongi.
Pale msimbazi Ushawahi ona mamba au umedandia tu hapa na hiyo ruvu ipo Dar sehemu gani 😂😂😂RUVU usijifanye hujui pia msimbazi
yaani Tzn inatia aibu jamani,kwamba serikali imeshindwa kuzuia watu wasijenge maeneo kama hayo hivyo vimabanda almaarufu dream houses huko milimani?
Ndo hali halisi ya towns zote Tzn ni uswazi slums za dream houses na govt haina shida sijui huwa wanawaza nini kuishi hovyo hovyo kama wanyama wasio reasonMbona miji yote Tanzania ukipaa angani yageuka ujinga tu.....smh.Miji yote mbovu mbovu ikiongozwa na daresalaam View attachment 1285360
estate zao ni zilezile miaka nenda rudi[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] mji haujengwi mpaka watengenezewe hostel na wakijenga ujenzi wao ni yale mabanda na yale mashant yanayodrop every monthTwende kazi mm nimekuruhusu urudie picha tu maana naona zingine unapost angle tofaut lakini same pic[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1287349View attachment 1287350View attachment 1287351View attachment 1287353
Nimecheka sana kwenye hii picha nimeona ile mijengo inayobomoka kila baada ya miezi miwili bila hata upepo kupita.
Baadae watakwambia yanaanguka kwa sababu wanamajengo mengi😂😂😂😂Yani hili jengo ukiliangalia tu bila vipimo muda sio muda linaanguka, sijui ile elimu hua munajifanya mumesoma iko wapi????
Yani hili jengo ukiliangalia tu bila vipimo muda sio muda linaanguka, sijui ile elimu hua munajifanya mumesoma iko wapi????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]whaaaaaaaaaaat?Arusha is near Nairobi/Kenya ko mambo mengi wanaiga Kenya kuanzia life style hadi kuwa aggressive in life issues
ni chokoraa kabisa huyo jamaa.....anaokota okota picha kisha anaxitupia hapaHuyo jamaa sio wa kumuamini kabisa,kishawahi kuleta uwanja barca,nou camp humu halafu akadai huko nairobi!
Peleka ujinga! Kama Arusha wanaiga Nrb mbona majengo ya uyoga yanayodondoka hayapo? Au mbona hamna njaa? Warbus tour wagons nani ana patent? If Arusha company, then nani anamuiga mwenzake?Arusha is near Nairobi/Kenya ko mambo mengi wanaiga Kenya kuanzia life style hadi kuwa aggressive in life issues
People living in extreme poverty, as share of world total.
Nigeria: 15.7%
Congo: 10%
India: 8%
Ethiopia: 4.6%
Tanzania: 3%
Bangladesh: 2.3%
South Africa: 2.3%
Indonesia: 2.1%
Yemen: 1.6%
Brazil: 1.1%
China: 0.9%
Pakistan: 0.3%
US: 0.3%
Mexico: 0.3%
(World Poverty Clock)
hatar mkuuForget it Zanzibar haina comparison EA! Kuna massive three real estate projects aside Bakhresa, Kuna German company n Blue Amber! Halafu kuna Russians, Italians n Swiss humus Waarabu pia!
Together r over $4 bln.
Inside The $1.6 Billion Luxury Resort With An Underwater Nightclub And A Private International School
Find out more about the Zanzibar Amber Resort—a 3,756-acre luxury resort expected to be East Africa's biggest ever yet.www.forbes.com
Nasubiria majina ya hyo mitaa hapa[emoji23][emoji23]Post picha unayotaka kujua alaf ntakwambia usijal kwa hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leta picha unayotaka kujua mm ntakwambia mtaa wala sio shida 😂😂😂 najua huaminiNasubiria majina ya hyo mitaa hapa[emoji23][emoji23]