babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,427
- 36,042
Sasa mbona unamshambulia mkenya mwenzako πππUnatuletea hapa vitu ovyo sana, leta vitu vinavyo onyesha pesa na maendeleo. Hii ikija Kenya ni project ya MCA (member of County Assembly); the lowest ranked elected public official. Na yuko kwenye county government, si National Government
Wajinga ndio nyinyi kuskiza hawa majamaa ambao hata hawajasoma. In fact wanafanya hivyo ndio waconvince local government kutoa more funds za infrastructure wakule. Tunawajua na hizo meaningless trips za bench-marking wakule pia per diem. Alafu unangoja wakuje kutricize progress ndio JPM aanze threats?Angalia hii video Wasikilize ndugu zako πππ
Hao wabunge wenu wamezungumza ukweli kabisa hapo hawajaficha kitu punguza wivu πππWajinga ndio nyinyi kuskiza hawa majamaa ambao hata hawajasoma. In fact wanafanya hivyo ndio waconvince local government kutoa more funds za infrastructure wakule. Tunawajua na hizo meaningless trips za bench-marking wakule pia per diem. Alafu unangoja wakuje kutricize progress ndio JPM aanze threats?
Naisubiria hyo link ya world bank hapa, wacha kuruka ruka hapa km ngedere...Hapo naii tu 3 mil out of 1 mil monkeys wanzishi Kwa dampo 75% sasa usiniambie nikupe link ya kwambamba Kenya kuna. Slum wakati wewe mwenyewe upo Kwa slum au unataka kuniambia wakaa Kwa slum ni matajiri
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mbona niwasikilie wivu wenzangu? Maono mnayo na hiyo we know and accept lakini kusahau kwamba Roma haikujengwa kwa siku is your problem. What you have done in Dodoma so far is insignificant. Even Tatu City which started the other day is way ahead. Mtajenga lakini ni nani atakuja kuishi huko, mtalazimisha watu kuuza majumba Dar? ever heard of Ghost cities? ask China, Rwanda na Angola. Economic activities precedes infrastructure. But you want to do it the other way round which is like gambling. You only need to plan, allocate land, create policies, and as the city grows, implement projects by the book.Hao wabunge wenu wamezungumza ukweli kabisa hapo hawajaficha kitu punguza wivu πππ
Nipe link[emoji23][emoji23][emoji23]
Nairobi is a SlumhubNaisubiria hyo link ya world bank hapa, wacha kuruka ruka hapa km ngedere...
Nairobi kuna slums lkn dar ni slum, hvyo ni vitu viwili tofauti...ndio manake middle class wa nairobi pekeake ni wengi kuliko tanzania nzima
Kwa Pesa ya ndani?ujinga ni kupiga mdomo na hujui mbona SGR inajengwa vile inavyojengwa. Nenda karesearch kwanza
Huo si highway[emoji23][emoji23][emoji23]ukipata higway inakaa hvo ni tagIla mmefika huku [emoji23][emoji23][emoji23]
Noma sana pale kunakucha sana weekendsMoshi ni patamu Sana, nimekula sana bia pale Redstone wikiendi hii[emoji39]
View attachment 1285239View attachment 1285241View attachment 1285245
Yaani umeandika insha lakini cha ajabu yote ni pumba πππMbona niwasikilie wivu wenzangu? Maono mnayo na hiyo we know and accept lakini kusahau kwamba Roma haikujengwa kwa siku is your problem. What you have done in Dodoma so far is insignificant. Even Tatu City which started the other day is way ahead. Mtajenga lakini ni nani atakuja kuishi huko, mtalazimisha watu kuuza majumba Dar? ever heard of Ghost cities? ask China, Rwanda na Angola. Economic activities precedes infrastructure. But you want to do it the other way round which is like gambling. You only need to plan, allocate land, create policies, and as the city grows, implement projects by the book.
Kwa hiyo umebadilisha gear hewani tayari πππHuo si highway[emoji23][emoji23][emoji23]ukipata higway inakaa hvo ni tag
Bwaaaaahhh Ghana jidanganyeVoodoo economics taught by ccm in udsm leads to such reasoning........your ugly underdeveloped Tanzania is nowhere near Ghana or Kenya.
In fact 70% of tanzanians still live in stone age hovels.....the only thing Tanzania has achieved is unity and that's it.
Ile umaskini umekithiri Tanzania na mamilioni ya watoto hata champali hawana huwa hamuoni ama ni blind patriotism na ujinga....smh
Huna google???ππππNipe link[emoji23][emoji23][emoji23]
uzuri si miti na climate, check my recent posts, it's the organization, cleanliness, economic vibrancy, infrastructure etc. Wacha tusubiri mwakani lakini π πSio kweli,sema uzuri wa mji pia na climate inaubeba,dodoma pakavu hakuna green kama hapo lakini barabara zipo na zinajengwa daily so maybe useme uzuri wa nakuru ni miti na hali ya hewa utaeleweka
Noma sana pale kunakucha sana weekends
We kima acha kusumbua binadamu tumekuambia subiri mwakani utajua ujuiWebsite means accountability coz you must have the domains and linked accounts. If you misrepresent facts you are held liable.On the other hand......"who believes an unverified tweet"....seriously.
Huyo masikini wa kibera bando hana akiangalia hiyo video ujue kesho awezi nunua chapoStart from 5:07
Najua ukweli wauma bro. Mnajenga ghost town πππ nivile your government cannot be criticized but ukweli ni ukweli tu. Hao wajinga wanaitwa wabunge hawaezi sema ukweli. Wengine wamekwama Uganda wakienda kubench-mark. It's something we are fighting. Am sure they told them the same thing.Yaani umeandika insha lakini cha ajabu yote ni pumba πππ