Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimewaona wakenya kule nailand forumm wakiomba ushauri wa jinsi ya kusavaivuuu kwenye slum iliyo jaa maji ,kumbe slum za nairobi zimekuwa kama makoko nigeria
Tusubiri mwakani jomba
 
Kwhyo unapinga km hakuna old town, kubali kwanza bana[emoji23][emoji23]
Ninachogombana na ww ndugu yako alisema new town Mombasa nimemwambia atuletee hapa mpaka leo haonekani akichangia tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sasa umekuja ww umedandia treni kwa mbele
 
Ninachogombana na ww ndugu yako alisema new town Mombasa nimemwambia atuletee hapa mpaka leo haonekani akichangia tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sasa umekuja ww umedandia treni kwa mbele
Huyo ni mbishi hadi huwa anasahau kuwa anabishania nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukiwaambia wathibitishe kitu hapo ndio umewakimbiza kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ninachogombana na ww ndugu yako alisema new town Mombasa nimemwambia atuletee hapa mpaka leo haonekani akichangia tena[emoji3][emoji3][emoji3] sasa umekuja ww umedandia treni kwa mbele
Heheeee!!kwhyo umekubali km kuna old town[emoji23][emoji23]
Kubali yaishe bana[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…