Jina linakuumiza sana kichwa 😀😀😀😀😀haka kajamaa hua nashangaa mbona kakajiita hilo jina unajua kikwetu nikitafusiri ina manisha choo ,,nitamwiita mvulana choo mvulana au mvulana choo ,,,,,,,,,,,
Ukiona hvo ndio ujue dalili za kushindwaWakenya wamehamia Kigali
Ooh pazur, ooh pamepangwa,huu sasa Ni utoto
Stick on thread
ICONIC LANDMARKS NAIROBI
McMillan memorial library
kipande house,housing KCB Bank
rahimtulla library
View attachment 513381 View attachment 513382 View attachment 513383
Mwanzo Kigali imechapa Dar pants downUkiona hvo ndio ujue dalili za kushindwa
sio vibaya kuwasifia...hiyo kigali haina mfano.mi naona imeipiku Nairobi kwa usafi na mpangilio.wape hongera zaoWakenya wamehamia Kigali
Ooh pazur, ooh pamepangwa,huu sasa Ni utoto
Stick on thread
Hili jengo halina mvuto
Hili jengo halina mvuto
Hehehe Kigali uringanishe na dar hata I think akili yako haiwezi kua salama....imeshindwa Nairobi kwa dar ulete Kigali ina population ya 500kMwanzo Kigali imechapa Dar pants down
Anzisha thread ya Kigali sasa huu Uzi ni tofaut na unachokipostsio vibaya kuwasifia...hiyo kigali haina mfano.mi naona imeipiku Nairobi kwa usafi na mpangilio.wape hongera zao
ukikurupuka kueka vyakula hapa nawale paka wako huwa kuna mahali umesoma ni uzi wa paka na vyakula huu?Anzisha thread ya Kigali sasa huu Uzi ni tofaut na unachokipost