Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini wajua nyie huona siasa tu lakini kwa ground vitu huwa different sana. Most of the things you see us arguing ni because kuna watu wenye vested interests wanaolipa influencers na media ili kuonyesha udhaifu wa kitu ilhali mambo yako sawa. Siasa za hapa hutaweza

siku hizi nanyie mmekuwa wakungojea mwakani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kweli mission completely
 
Mbona old na new zote zimechoka. Au bado hujaweka picha za new
Swali funny kabisa. Check the structures on the horizon. Architectural designs zetu mingi zinaiga designs za old cities which we find beautiful and ideal for the Nairobi cold. Waona kama hii Bawan inajengwa Upperhil inaiga designs za Boston na inaenda kuambatana na theme ya old school buildings ambayo ilianzishwa na UAP


 
Hapa ndipo mnapofail. Ugly things+Minara ya simu juu
 
Na kuiga ni ubunifu? Is copying creative? Get ur own design I see London being so much imitated! No uniqueness in what u r doing! get ur own identity!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…