ni kheri tu unipuuze kuepuka "kujitia" aibu kuliko kuendelea kuladhimisha mjadala na mimi.
ni ukuweli usio na shaka kuwa kiswahili kitamu tunachozungumza watanzania,kinapendwa sana na watu wa EA hususani wakenya,kushinda kiswahili kibovu kinacho zungumzwa kenya.
ushahidi mwingine wa wakenya wanaosifia kiswahili cha tz ni huu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ukurasa wake wa Facebook:
Esther Kinuthia.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
huyu pia ni mkenya na ni member maarufu hapa jf.
kwakuwa namuheshimu sana,nimeonelea si vema kuweka wazi account yake facebook.yeye mwenyewe anajifahamu,bila shaka huwa anafatilia thread hii.