Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huezi linganisha mji wa Nairobi na kacity flani ambayo inafanana Mombasa
 
Acha tuwaamshe nakweli kazi itakuwepo sema ukabila ndo unawakwamisha unaezakuta kiongozi mkora ila kwa sababu ni wakabila lenu unajikuta tu umempa kura yako maana una hofu na upande wa pili utawatupa kabisa kwny kuwatetea mnaona bora mpate kiongozi mwenye nguvu anayetokea upande wenu hata kama ni mlafi!!! Potelea mbali!!!! Tumshukuru sana Baba wa Taifa kwa kutuepushilia hili maana ni janga.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡punguza hasira hapa kwanza





 
Alaf hii inaitwa fun city ndio sehemu kubwa ya kisasa mabembea na kila aina ya michezo unayoiskia duniani east and central africa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Tafuta kama hii kenya nzima







 
Huu mchezo unaitwa roller coster kwa africa mashariki na kati unapatikana dar na zanzibar pekeeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡kama utaupata huu mchezo kenya nzima nitag usiache plzπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Fun city darπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡




roller coaster zanzibarπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…