Kheee!!ngozi nyrupe ikiwa tanzani mnajifanya mna utu kwel...Ukabila na ubaguzi bakisheni huko huko.
Nilisema mm watatafuta pa kujifcha yn wanapngana wnyw kwa wnyw yule muhuni wa kibera Nicxie anakwambia WaTz tunaitegemea government for everything tukiwaonesha mali za watu bnafc watakwambia hyo c ya fulani ss ww komora096 aliekwambia Bakhressa ni mhindi nani??Mhindi piga kazi
Shida yako kubwa huwa ni kucoment pumba bila kushirikisha angalau asilimia kadhaa ya ubongo wako.Kheee!!ngozi nyrupe ikiwa tanzani mnajifanya mna utu kwel...
Hapo ingelikua ni kenya, ungelipiga makofi na kukata mauno hku ukiimba pambio[emoji23][emoji23]
tuwaache waendelee na ujinga wao....mambo yamechange
Lazima ni kwambie ukwel...kwani ni uongo, ngozi nyeupe kwenu sawa, lkn kenya mnakejeliShida yako kubwa huwa ni kucoment pumba bila kushirikisha angalau asilimia kadhaa ya ubongo wako.
Kuna clip nilliona jana wanasema Bandari ya Tanga inauwezo wa kuwa na bandari 12 za Dar.Tutaelewana tu. Mdogo mdogo
22m vs 28m
Hawa wetu huku wamezaliwa na kukulia huku na hawajajimililisha mashamba ambayo yangefaa kumilikiwa na wanachi wa kawaida na kumaliza kabisa tatizo la njaa kenyaLazima ni kwambie ukwel...kwani ni uongo, ngozi nyeupe kwenu sawa, lkn kenya mnakejeli
Nimekuvuta mpka umekuja na ule wimbo wenu...wazawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wetu huku wamezaliwa na kukulia huku na hawajajimililisha mashamba ambayo yangefaa kumilikiwa na wanachi wa kawaida na kumaliza kabisa tatizo la njaa kenya
Mfano hapo kwenu mashamba ya chai, maua yanamilikiwa na ngozi nyeupe,
Alafu unasema jamaa wa azam ni muhindi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuvuta mpka umekuja na ule wimbo wenu...wazawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enheee!!nieleze zaidi...
Hv mmeshalipa fidia kw yule kikongwe...manake ya hku hutoyaweza
Wahindi wanaifanyia nn Kenya? Bakhresa ana boats na ferries zisizopungua 10. Na ameanzisha charter airline pia!Mhindi piga kazi
Hawajui chochote hao kinachoendelea tanzania...wanafanya kumskia kwenye medias tu wakati anapambwa...
Kuna vitu huaga nikiwaonyesha wanagu wanashtuka, huaga hawaamini kabisa km ni yule magu anayesifiwa mitandaoni...nimeshawatoa matongo tongo wengi sana...
Tunasubiria muwalipe kwanza wale vijana wa census.Hv mmeshalipa fidia kw yule kikongwe...manake ya hku hutoyaweza
Tuletee kijana wa census ambae hajalipwa...Tunasubiria muwalipe kwanza wale vijana wa census.
Kwa hiyo hao vijana Wanaolalamika kukulishwa bluetick sio wa kenya au?Tuletee kijana wa census amabe hajalipwa...
My cousin amejikwapulia around ksh 80-90k after tax, alikua ICT supervisor..
Endeleeni na mipasho hko bongolala
Wapi hao...mnake watu walilipwa kw mda tofauti tofauti kulingana na county...Kwa hiyo hao vijana Wanaolalamika kukulishwa bluetick sio wa kenya au?
Haha kwa kubadilisha Badilisha gear hewani haujambo,Wapi hao...mnake watu walilipwa kw mda tofauti tofauti kulingana na county...
Hicho kiliwafanya wengine ku panic na kuanza kujiona imesshakula kwao, km sikosei mombasa county walikua wa kwanza kwanza...
Kipi ambacho hukukielewa hapo...Haha kwa kubadilisha Badilisha gear hewani haujambo,
Mwanzo hapo juu Ulisema wamelipwa sasa hivi tena unasema wanalipwa kulingana na county,
Nenda pale twitter search kenya census money alafu ingia kipengle cha latest [emoji23][emoji23][emoji23]