Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So leo kibera has only 250,000 people? Not 2.5 million anymore? [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wasee wa dream houses mnachekesha kweli
Du kwahiyo mliwai kuwa 2.5mil ???!!!
 
Nakumbuka miaka ya nyuma kulikua na plan ya cbd kibamba pale,ramani iko mpaka leo,wangeanzia pale ingekua poa sana
Kote tunajenga hii
ni serikali ya ujenzi tunachofanya Kwa sasa ni kusahihisha makosa ya miundo mbinu kwanza kafuriko yasitokee wakati wa mvua kwenye miundo mbinu yetu na maswala ya nishati ili bei ya Umeme iwe unit 4 Kwa tsh1000
 
Bwahahaaa....nimejenga mabati, nyumba ya nn wakati naishi kw bati langu freshy tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…