Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nadhani itabidi tutafute maelezo ya kina. Ngoja niitafute hotuba ya waziri. Niweze kuisoma kwa kina niweze kujua
 
Rwanda hawana soko la ndani sababu nchi yao ndogo sana geographically, mtu hawezi kupanda ndege kwenye route ambayo unapanda basi kwa nusu saa umefika ndio maana hata mabasi yao kama trinity yapo kama ni mabasi ya Tanzania tu sababu wanategemea Tanzania abiria kwenda Rwanda

ATCL inapata faida kubwa Sana kwenye route ya Dar Mwanza ila Subiri SGR ikamilike uone.
 
Nadhani mwandishi wa habari kachemsha hapo.
Hotuba hii hapa:



 
True.. Rwandair inawakati mgumu. SGR ikiisha itatoa challenge sana kwa ATCL, ila ni vizuri kwa mlaji. Ata wanaoelekea Kagera wataweza ku opt SGR.
 
Mombasa imewashinda sembuse Kenya? Dar ilishuka ligi kitambo siku hizi inacheza ligi ya Mombasa
Kwahiyo iliwahi kupanda ligi ?? Na sasa imeshuka !!! Leo umekubali japo Kwa mafumbo Kwa sababu dar aijawahi kushuka inazidi kwenda mbele day to day Kwa kasi ya 5g
 
Nadhani itabidi tutafute maelezo ya kina. Ngoja niitafute hotuba ya waziri. Niweze kuisoma kwa kina niweze kujua



Mbona maelezo yako clear kabisa, Airbus 2 na Bombadier ziliishalipiwa kwa budget ya 2019/2020 na delivery ni 2020. Airbus 2, Bombadier 1 na Dreamliner 1 kwa budget ya 2020/2021......hope hizo delivery itakuwa 2021 wakati Magu kastaafu[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…