Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Kumjibu huyo jamaa ni kupoteza muda,jamaa huwa haelewi hata anachoposti,mi huwa nampotezeaEmbu fuatilia reply za juu uone ni wapi pamebishwa,
Grow up punguza utoto, Usipende kuweka mashindano kwenye kila kitu.
Huyo muda wote huwa anawaza kubishana tuKumjibu huyo jamaa ni kupoteza muda,jamaa huwa haelewi hata anachoposti,mi huwa nampotezea
Embu fuatilia reply za juu uone ni wapi pamebishwa,
Grow up punguza utoto, Usipende kuweka mashindano kwenye kila kitu.
Nlipokuuliza [emoji116][emoji116] hukujibu umekuja na story za kujifariji..ok[emoji122][emoji122]A better life.
The more developed a country is, the more you pay to maintain your standard of living.
Endelea kujifariji huku wakati wewe ndio una quote vitu usivyovielewa na kuandika ujingaUmeelewa hicho kingenge kwanza
Kumjibu huyo jamaa ni kupoteza muda,jamaa huwa haelewi hata anachoposti,mi huwa nampotezea
Ndugu una akili fupi mnoo,Nlipofuatilia nilikuta umeandika tsh 2300 unaweza ukafanyia mambo mengi sana..
Baad ya kuleta ile purchasing power, so dhamira yako tuliijua ndio manake ukaumbuka..sai ndio unajifanya ilkua unaadika tu wala hukua eti hutaki comparison
Anyway..si ueudi kw mada tu
Tsh 2,302 is equivalent to ksh 100. Who told you I can't enjoy a meal at mama ntilie with a 100 bob hadi nibakishe change ya airtime?
Wanauza mpaka kachumbari maisha yalivokua magumu😂😂😂😂Jaman enh nipo Nairobi, watawaambia nn hawa watu [emoji23]
Soda tu 90, hio 100 na chenji kubaki kwa mama ntilie unakula nn [emoji23]
View attachment 1248717
Kuwa na huruma kidogo kwa hawa mashemeji zangu bana.Wanauza mpaka kachumbari maisha yalivokua magumu😂😂😂😂
Duh asee mbona vitu ghali namna hiyo 😂😂😂Jaman enh nipo Nairobi, watawaambia nn hawa watu [emoji23]
Soda tu 90, hio 100 na chenji kubaki kwa mama ntilie unakula nn [emoji23]
View attachment 1248717
Du Kenya maisha ni magumu sana tz dar es salaam sahani yq ugali yenye mboga ya nyama njegere dagaa na tembere ni TSH 1000 kama uamini muulize mk254Tsh 2,302 is equivalent to ksh 100. Who told you I can't enjoy a meal at mama ntilie with a 100 bob hadi nibakishe change ya airtime?
😂😂😂🤝🤝🤝🤝Kuwa na huruma kidogo kwa hawa mashemeji zangu bana.
sasa sibora wangeunganisha bei moja kwa moja yaani mpaka waandike bei ya kachumbari kweli kenya ni machizi...ila napata picha kuwa kuna watu kenya huwa wanashindia kachumbariWanauza mpaka kachumbari maisha yalivokua magumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu una akili fupi mnoo,
Punguza kupenda kubishana kwa kutumia mihemuko,
Hapo juu niliuza tu kiustaarabu wala sikutaka ubishi wa kitoto kama wako,
Ni kitendo tu cha niliyemuuliza kujibu kuwa ksh kiasi hiki kinatosha hiki na hiki basi,
Sasa wewe kutokana na ufinyu wa akili ukarukia na kutapika matapishi yako badala ya kujibu kilichoulizwa
Jaman enh nipo Nairobi, watawaambia nn hawa watu [emoji23]
Soda tu 90, hio 100 na chenji kubaki kwa mama ntilie unakula nn [emoji23]
View attachment 1248717
Jaman enh nipo Nairobi, watawaambia nn hawa watu [emoji23]
Soda tu 90, hio 100 na chenji kubaki kwa mama ntilie unakula nn [emoji23]
View attachment 1248717