Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania pia hakuna billionaire..afikishe kwanza billion ya kuwait dinar ndio nimkubali...(the strongest currency in the world)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Africa billionaire ni dangote bana...manake kila utakapo badilisha mali yake katika currency yyte hapa duniani bado anabaki kw billion
Hakuna billionaire kenya kuna upuuzi,billionaire hata USD 1 billion hana, sasa huyo ni billionaire uchwara
 
Umeumia sio...ya nn unganganie twende na dollar, wakati kuna hela yenye thamani sana kuliko zote duniani...
Mbna unajichanganya
Najua wakenya weeengi ni vilaza,lakini huyu komora ni too much,amepita hadi kwenye ukilaza
 
Basi tutumie the strongest currency in the world..manake km ulivyosema tunashindanisha nchi mbali mbali...hvyo basi itakua rahisi...
Mtu akiwa billionaire kuwait basi ujue popote pale duniani ni billionaire...kitu rahisi tu, nynyi mnashindwa kukielewa
We Pimbi kuna bilionea Kwa kipimo cha usa $ kipimo cha Β£ kipimo cha Ksh kipimo cha tsh no Kwa hiyo unapo zungumzia bilionea Kwa kushindanisha nchi mbalimbali ni lazima utumie value moja ya hela kama USA dollars
 
Hyo pesa kwn ni ya serekali...jamaa wameamua kujenga utaanza kuwapangia tena...mbna huaga mnajitoa ufahmu hv..wakati mwngine km huja comment kitu fanya research kwanza
 
Achana na huyo ng'ombe
 
and 99% of all the Cars in Your roads are used imported from Japan.
What a wastage, Pale Mombasa Road kuna assembly plant ya Hino with vehicles rotting in rusts.
How many do you make locally for yourselves?
 
Acha utoto read between the lines pyumb* wee
 
Heeh kwel nyie walevi aysee ushakataa sentensi mlizotoa apa kwmb kwenu kuna mabilionea by the way who are u ukatae stats za Forbes kwmb Tz kuna billionaire
 
Billion ya kenya ulaya unapeta tena vizuri sana...sijui kw pesa zenu za madafu[emoji1787][emoji1787]
Huwezi kupeta ulaya na makaratasi yako ya kenya au tz,lazima tuyabadili kwanza.ndipo ujue umebeba pesa au uchafu.

Hiyo bilioni ya kenya ukiirudisha katika $ ni 10,000k,na ya tz ukiipeleka katika $ ni 500k.sasa ili tusivuruge mambo nani ni nani.

Weka pesa zako reserve kwa $.then tutapimania hapo.
 
Miji ya pwani huwa ina fukwe kama sehemu za kupumzikia. Miji kama London/Nairobi haina vitu hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…